Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

[emoji3][emoji3] Carlos (Billy Drago)mzee wa nyodo nguvu zenyewe hakana.

Bila kumsahau Amrish puli R.i.p[emoji3][emoji3]
Kuna movie moja ya billy Drago aliongea wakati kakamatwa "nilizaliwa siku moja nitakufa siku moja "Rest in paradise [emoji25] Billy Drago
 
Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring katika movie huwa nafurahi sana kuwaona hawa mastarring/mahero wakiteseka.Yupi kwako ni adui au maadui wako bora uliwafurahia katika movie ulizoziona.
Naseerudin Shah
 
Terminator II ile mashine iliyomsumbua Arnold
 
Shamba la bibi sijaliona asee.. labda unihadithie..
Unazungumzia ile muvi inayoitwa Prey??
Shamba la Bibi ni movie ya makaretika waliokuwa maarufu sana Tanga...

Hassan, Master Jimmy(Jimmy Master) na jamaa wa tatu nimemsahau, hawa walikuwa wababe wa Tanga wakifanya karate katika dojo moja...

Wakati huo mbabe wa masumbwi ni Mambeya Bakari
 
Swali rahisi sana, ningependa liwepo kwenye mitihani...
Tony Blair, George Bush, Donald Trump, Obama, Putin etc etc...
 
Wa kwanza ni voldimut hilo jina nimelikosea pia kuna hella.
Kuna thanos.
Kuna yule jamaa wa the matrix.
Kuna huyu loki na magneto.

Hao wote nawakubali ukiondoa huyo katili wa kwenye movie za Saw.
 
Back
Top Bottom