Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

mm nilikuwa nafurahi sana nikiona Potter akiteseka kwa huyu mzee na hile sauti yake hata ukiziba masikio lazima umsikie tu.

Kwenye " Harry Potter and the Chamber of Secrets" alimuonea sana Horry Potter, alimpiga sana na spells... bado kidogo amtoea roho...

Lord Voldemort he is a very powerful wizard... untouchable... undefeated...

Cc: mahondaw
 
[emoji3][emoji3] Carlos (Billy Drago)mzee wa nyodo nguvu zenyewe hakana.

Bila kumsahau Amrish puli R.i.p[emoji3][emoji3]
Hao ndo wenyewe na kuna mmoja China tulikuwa tunamuita MZEE IGO ana ndevu za vimvii
kipindi cha ALEXENDER LOU(ALEXZANDALUU) na wenzie ilikuwa hatari sana

bila kumsahau DANNY DENZONGPA na
GUSHAN GROOVER na mikogo kama ya BILLY DRAGO

pia kuna CARRY TAGAWA
CARRY%20KAGAWA.jpeg
DEN%20DENZONGPA.jpeg
 
Tagawa nilimuelewa sana kwenye mortal kombat.
Den umkute na San deo[emoji23][emoji23]
Hao ndo wenyewe na kuna mmoja China tulikuwa tunamuita MZEE IGO ana ndevu za vimvii
kipindi cha ALEXENDER LOU(ALEXZANDALUU) na wenzie ilikuwa hatari sana

bila kumsahau DANNY DENZONGPA na
GUSHAN GROOVER na mikogo kama ya BILLY DRAGO

pia kuna CARRY TAGAWA View attachment 1285884View attachment 1285886
 
Back
Top Bottom