Who is winning the battle between Israel and Hamas? Nilitegemea 6 day war or so ijirudie, why not this time?

Who is winning the battle between Israel and Hamas? Nilitegemea 6 day war or so ijirudie, why not this time?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Who is winning the battle? Nilitegemea 6 day war or something near to that ijirudie, why not this time? Ina maana Israel nguvu zake kijeshi zinatelemka, and if so , IS IT WRIGHT ONE TO PREDICT THAT existence ya Israel is at stake! Maana waarabu wakipata upenyo, wanaifuta kwenye uso wa dunia! Msione wamenyamaza na unafiki, rohoni kuna uadui usiomithirika!

TIME WILL TELL
 
Hii vita ya kipindi hiki ni tofauti kabisa na wakati mwingine.
Mbinu ya Hamas ya kutumia watoto na wagonjwa kama kinga imebadilisha kabisa hii vita na kufanya mtizamo wa dunia uwe tofauti na ilivyokuwa katika vita za awali.

Hata hivyo hii haikuwa vita bali maangamizi ya watu wasiokuwa na hatia(hasa watoto na wanawake)
Israeli nao wameliona hilo.
 
Ni kelele za dunia na uwepo mwingi wa smartphones unasababisha israel ifanye ukatili wa kiasi isingekuwa hivo basi wangefanya yale zaidi ya adolf Hitler wangeua hadi kuku
 
Netanyahu alishasema kwamba vita dhidi ya ugaidi itakua ngumu sana na itachukua kipindi kirefu.

Ni mapema sana kusema Israeli imeshindwa vita
 
Hamas wamekuja kivingine, Israel hatoboi.
20231007_211819.jpg
 
Ulitegemea 6 days war ijirudie wewe kama nani. Mbona Israel wahusika wenyewe wamejipa karibia mwaka kufanya operation hii.
 
Ni kama ile Vita ya CCM na Chadema wakati wa Magufuli ilichukua muda mrefu sana lakini mama Samia katumia.Silaha Moja tu ya Maridhiano Chadema chali

Samahani lakini bwashee 😄🔥🐼
 
Tangu truce itangazwe nyuzi za namna hii zinakuja kwa kasi kuna jing lingine litaanzisha nyuzi yenye maudhui kama haya haya leo
 
Israel huwa anapigana vita vya muda mrefu sana. Kinachoshindikana kwa Israel kuifuta Hamas ni kelele za watu wa haki za binadamu na kutoka mataifa mbalimbali. Otherwise Hamas ingekuwa imesafishwa.
Acha uongo wewe mvaa rozari,SI mlisema Gaza ni kitongoji km kinondoni tu ,licha ya kutumia drone na vifaru mwezi wa pili Sasa.

Acha ufala wa kuwasumbua raia mara hameni kusini nendeni kaskazini,mara hameni kaskazini nendeni kusini.
 
Back
Top Bottom