Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Wote wanaonikubali,na mimi nawa salute sana wazeiya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kijana masikini umetajirika haraka nipe siri ya mafanikio mkuu. 🙂
hahahaha dah ngoja nianze na matairi nifungue kampuni ya kuuza magari.Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya' Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family...www.jamiiforums.com
Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza madhuleni, hadi sasa nina Super market ya kwangu.
Subiri nirudi South africa mkuuNije wapi kuzipokea mkuu!
Inawezakana tu mkuu kikubwa ni kufocus kwenye jambo unalolifanyahahahaha dah ngoja nianze na matairi nifungue kampuni ya kuuza magari.
Sawa Mkuu mpele samaleko Midekoo huko ukimuonaSubiri nirudi South africa mkuu
💪🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤Mshana jr
Thanks brother for the love💪🏿📌🔨Mshana Jr namkubali sana uyu,sio yule Lucas Mwashambwa chawa³
Asant mkuuMonetary doctor
Bolotoba kama mpumbavuu 🤣
Intelligent businessman Rais wa Majobless Promax
Mshangazi dot com my dyadyaaa
Samaleko
I appreciate brother
Aleku musalamu😜Monetary doctor
Bolotoba kama mpumbavuu 🤣
Intelligent businessman Rais wa Majobless Promax
Mshangazi dot com my dyadyaaa
Samaleko
Humu ndani Mimi nataka(sio kutamani) nikutane na wana wawili ili niwasalishe Sala ya toba Kiranga na Infropreneur ... Nawaslimu sana wakuu😅😅😅
🤣🤣🤣🤣Humu ndani Mimi nataka(sio kutamani) nikutane na wana wawili ili niwasalishe Sala ya toba Kiranga na Infropreneur ... Nawaslimu sana wakuu😅😅😅