Hovering
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 275
- 912
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina Amina kiongozi 👊
Wenzio hao 😃😀😄.Mzee wa "mamlaka yenye nguvu kuliko sisi."Humu ndani Mimi nataka(sio kutamani) nikutane na wana wawili ili niwasalishe Sala ya toba Kiranga na Infropreneur ... Nawaslimu sana wakuu😅😅😅
Lala kijana, kesho nayo ni siku
Mchana wenu, usiku wetuLala kijana, kesho nayo ni siku
Shukrani sana ndugu karibu sana kigamboniMe kuna watu sina mazoe nao sana ila nawa appreciate na ipo siku huenda tukakutana min -me raraa reree mshamba_hachekwi Poor Brain Vincenzo Jr Red black sawima KENZY na crew ya majobless pro max makutupora Bolotoba Thecoder na Intelligent businessman
Mimi sio mwanao, huwezi kuwa na mtoto mkubwa kiasi hiki.wanangu sana kina Ushimen, Half american, min -me, Mpaji Mungu, makutupora, binti kiziwi, mshamba_hachekwi Bolotoba, shida nina Wana wengi 😂
bro yaani sera zote ili tu usi nipokee 😂🤣Mimi sio mwanao, huwezi kuwa na mtoto mkubwa kiasi hiki.
I appreciate it bro ...Me kuna watu sina mazoe nao sana ila nawa appreciate na ipo siku huenda tukakutana min -me raraa reree mshamba_hachekwi Poor Brain Vincenzo Jr Red black sawima KENZY na crew ya majobless pro max makutupora Bolotoba Thecoder na Intelligent businessman
Asante sana me nipo mwanzaShukrani sana ndugu karibu sana kigamboni
Na wewe pia nataka nikutane na wewe ili tuzungumzie hilo swala😅Wenzio hao 😃😀😄.Mzee wa "mamlaka yenye nguvu kuliko sisi."
Wewe unamajibu ya kisiasa 😡Uliza nikupe majibu.
Ndo yakojeWewe unamajibu ya kisiasa 😡
Hehehe!!!Na wewe pia nataka nikutane na wewe ili tuzungumzie hilo swala😅