mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Ungethibitisha uwepo wa huyo mungu wako, ama ukamleta tumuone ingekuwa poa sana.Humu ndani Mimi nataka(sio kutamani) nikutane na wana wawili ili niwasalishe Sala ya toba Kiranga na Infropreneur ... Nawaslimu sana wakuu😅😅😅