Who is your JF buddy? Ingawa haujawahi kumuona ila humu ndani ni mtu wako wa nguvu

kijana masikini umetajirika haraka nipe siri ya mafanikio mkuu. 🙂

Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni, hadi sasa nina Super market ya kwangu.
 
hahahaha dah ngoja nianze na matairi nifungue kampuni ya kuuza magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…