mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Ungethibitisha uwepo wa huyo mungu wako, ama ukamleta tumuone ingekuwa poa sana.Humu ndani Mimi nataka(sio kutamani) nikutane na wana wawili ili niwasalishe Sala ya toba Kiranga na Infropreneur ... Nawaslimu sana wakuu๐ ๐ ๐
DuhSingo Maza wote useless.
Kabisa Lucas wangu๐ephen
Nakukubali sanaNlkua sijasoma i appreciate youโค๏ธ
Uliza nikupe majibu.
Kenge na mambaTUWE NA UTARATIBU WA KUTAFUTA KAZI MAANA KAZI ZIPO ILA NI VILE WAVIVU WA KUTAFUTA KAMA UPO TAYARI KUANZIA SASA BASI NICHEKI TUANZE KAMPENI HII..
UMRI NDIO HUU BADO UJACHELEWA KUKAA NYUMBANI INATOSHA
KAMA KIJANA TAFUTA KAZI UVUJE JASHO
Nimi nina utani na wewe Mkuu?Humu ndani Mimi nataka(sio kutamani) nikutane na wana wawili ili niwasalishe Sala ya toba Kiranga na Infropreneur ... Nawaslimu sana wakuu๐ ๐ ๐
Na wewe nilikusahau mkuuUngethibitisha uwepo wa huyo mungu wako, ama ukamleta tumuone ingekuwa poa sana.
Mkuu ni mazungumzo tu hayo baada ya habari... Nothing serious.Nimi nina utani na wewe Mkuu?
Hii ni taasisi ya UHASIBU.OKW BOBAN SUNZU ni taasisi. Kila member anatamani kuonana na mwenzie aliyepo kwenye taasisi
Hahahaha,huyu Binti kapotea kbsChakorii saivi anajiita nani ?