Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Helicopters hazijawahi kuwa salama hata kidogo. Kulipuka kitu cha kawaida kwa za kijeshi tena mtu asiseme zinakuwa na vilipuzi. Sasa hizi mara hydraulc system ifeli, tail rotor igongane na ndege/birds angani eti ajajari itokee. Siziamini kabisa
Hapa tunazingumzia case ya kulipuka ikiwa angani. Achana na hizo habari za tail rotor kufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ndo umeishia kufikiria kuwa yule mama kawatoa sadaka mmewe na mwanae kwa ajili ya kurithi Mali ? There must be some screws missing somewhere.
Sio sadaka kama mnazotoa kijijini KWENU Isungachupi. It's a conspiracy kama za wamama.wa kimachame.
 
I smell a fish

To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated.

Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up.

There was a foul play, something like Yale Yale ya Samora Machel.

Ukiona maji yapo ndani ya chupa ujue kuna MTU aliyaweka humo.

Mlipuko kwenye ndege maana yake kuna kitu kimesababisha mlipuko.

Hicho kitu kilicho sababisha mlipuko hakikujiweka chenyewe. Kiliwekwa na watu wenye malice aforethought.

# I suspect his white wife( widow) might have something to do with the plane crash.

# She probably knows what has killed her husband.

# His 500 million USDs networth might be the motive behind his murder.

Masikini Kobe, they warned him about his white wife but he wouldn't listen.

Probably she was the one behind Kobe's misunderstanding with his parents.

#Up to his death, Kobe was not talking to his parents for the reason that they sold his childhood photos to a magazine for millions of dollars without his consent.

# Guys don't forget what God told us in the book of Exodus " Honour ur parents so that ur days may be many on the earth'

I can't believe. My heart is broken. And my soul is troubled just like Jesus when he learnt about the death of his friend Lazarus.

Guys ndege binafsi is too risky. Remember How Jim Reeves Died in 1964.

I wish I was reading " Tupac is Dead".

Kobe is Gone.
The Great Rock has fallen.

May Almighty God rest his soul in Eternal Peace. Amen.
You suspect his white wife, then you conclude you feel sorry that he was warned about her....
What a piece of lame article...
R.I.P KOBE THE GREAT.
 
Kulikuwa na ukungu mzito, wakagonga mlima

Kafariki na mwanae wa 13yrs

Mkewe asingeweza kuua mtoto wake
 
You suspect his white wife, then you conclude you feel sorry that he was warned about her....
What a piece of lame article...
R.I.P KOBE THE GREAT.
It was an opinion not a fact. Halafu uache kujitoa akili mkuu. Kuna kitu gani kigeni kuhusu MTU kumu ya mtoto wake Kwa ajili ya hela. Acha kufikiria kama mtoto wa chekechea mkuu.
# money is money.
 
Na kobe kafariki na mwanae, mtoto wa huyo mama

Mkewe asinge plan hilo
U people think like kids. Do you think a person cannot kill his or her children because of money?

May be Kobe thought the same way and used her as a shield.

May be she had this fact in her mind.That people like you will think like u do.

# It's just an opinion. Not a fact
 
It was an opinion not a fact. Halafu uache kujitoa akili mkuu. Kuna kitu gani kigeni kuhusu MTU kumu ya mtoto wake Kwa ajili ya hela. Acha kufikiria kama mtoto wa chekechea mkuu.
# money is money.
Unazidi kudhihirisha ulivyo.
Advice: Talk less so that people might suspect you to an intelligent individual.
Your opinion. Now why are you mad about my opinion about your article?
Relax.
 
#Up to his death, Kobe was not talking to his parents for the reason that they sold his childhood photos to a magazine for millions of dollars without his consent.
Kwenye hili inanibidi niisome tena historia ya Kobe.
Up to his death alikuwa haongei na wazazi wake?
Najua mwanzo wa ndoa yao had anapatikana mtoto wa kwanza ndio ilikuwa hvyo then mambo yakawa sawa
 
Wabongo wape picha tuu,stori wataandika wenyewe.

Ajali imetokea hata masaa 2 hayajapita lakini wabongo washamjua muuaji[emoji851]

Unforgetable
Hii vip
IMG-20200127-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's funny when you compare your feelings to Jesus' as if you two were acquaintances. It's extremely funny because you seem to know His innermost feelings. Very funny.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kobe ndio mwafrika wa kwanza mwenye pesa kuoa mwanamke mweupe? Acha maneno kile ni kifo tu kama vifo vingine, siku zake zilifika

Wanawake wa kizungu huwa mara nyingi huwapenda watu weusi kwa ajili ya pesa zao tu sio kitu kingine, huyo ndugu yupo sahihi kwa asilimia kubwa.

Ipo hivi; Waafrika hupenda kuwa na wanawake wa kizungu na wanawake wa kizungu wanajua hilo, sasa inapotokea Mwanafrika hasa watu maarufu kama Kobe wanapopata ela basi hao kina dada wa kizungu huwa "wanajilengesha" kama unavyojua tofauti na watu mataifa mengine, wazungu hawana roho ya aibu na waafrika tunawapapatikia mademu wa kizungu na kusahau waafrika wenzetu.
 
Up to his death, Kobe was not talking to his parents for the reason that they sold his childhood photos to a magazine for millions of dollars without his consent.
Mkuu hili sio la kweli kabisa.
Kobe alikuwa anaongea na wazazi wake kabla ya kifo chake.
Kipindi ambacho alikuwa haongei na wazazi wake ni ile time alipomuoa Vannesa.
Wazazi wake walisusa kutokana na kwamba hawakutaka Kobe aoe akiwa na miaka 18 pili mwanamke alikuwa white na wazazi walikuwa wanapendelea aoe black american.

Baada ya Vannesa kujifungua mtoto wa pili, Gigi(huyu aliefariki kwenye ajali) mambo yalikaa sawa na walikuwa wanaongea.

Kuhusu nyumba hujasema kwamba mwisho wa siku wazazi walimuomba mtoto wao radhi kwa kuuza nyumba ambayo Kobe ilikiwa haki yake.
Na Kobe alikuwa na evidence zote za kuonyesha alikuwa anatoa financial support kwa wazaz wake.

Mkuu jitahidi ukiwa unatoa maono yako utumie facts na sio kuwa biased.
Unaweza ukawa sahihi kuwaza kuwa Vannesa amemuua kobe but you have to come with strong arguments kuliko UONGO huu ulioandika.
Rejea

Screenshot_2020-01-27-06-44-51.png
 
It's funny when you compare your feelings to Jesus' as if you two were acquaintances. It's extremely funny because you seem to know His innermost feelings. Very funny.

Sent using Jamii Forums mobile app
In the Bible it has written ' When Jesus learned about the death of Lazarus his soul was troubled" My soul was also troubled when I learned about Kobe's death.

Can't u see the comparison? Do U mean one need to be his co league to have this kind of feelings?

It was unbeknownst to me
 
Back
Top Bottom