Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Wi
Mkuu hili sio la kweli kabisa.
Kobe alikuwa anaongea na wazazi wake kabla ya kifo chake.
Kipindi ambacho alikuwa haongei na wazazi wake ni ile time alipomuoa Vannesa.
Wazazi wake walisusa kutokana na kwamba hawakutaka Kobe aoe akiwa na miaka 18 pili mwanamke alikuwa white na wazazi walikuwa wanapendelea aoe black american.

Baada ya Vannesa kujifungua mtoto wa kwanza, Gigi(huyu aliefariki kwenye ajali) mambo yalikaa sawa na walikuwa wanaongea.

Kuhusu nyumba hujasema kwamba mwisho wa siku wazazi walimuomba mtoto wao radhi kwa kuuza nyumba ambayo Kobe ilikiwa haki yake.
Na Kobe alikuwa na evidence zote za kuonyesha alikuwa anatoa financial support kwa wazaz wake.

Mkuu jitahidi ukiwa unatoa maono yako utumie facts na sio kuwa biased.
Unaweza ukawa sahihi kuwaza kuwa Vannesa amemuua kobe but you have to come with strong arguments kuliko UONGO huu ulioandika.
Rejea

View attachment 1336470
Since when is Wikipedia an authority? Don't be misled by the Wikipedia
 
Unazidi kudhihirisha ulivyo.
Advice: Talk less so that people might suspect you to an intelligent individual.
Your opinion. Now why are you mad about my opinion about your article?
Relax.
An opinion has to be valid. But Urs was not.

Kaka ako akimbaka binti yako halafu ukaiambia mahakama

" Mtukufu hakimu , huyu mtuhumiwa hawezi kumbaka binti yangu Kwa sababu NI Kaka angu wa tumbo moja kabisa tena ndio kaniachia ziwa halafu anaimba kwaya kanisani"

That might be an opinion but it will be An Invalid Opinion just like urs. Only toddlers can think that way
 
I smell a fish

To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated.

Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up.

There was a foul play, something like Yale Yale ya Samora Machel.

Ukiona maji yapo ndani ya chupa ujue kuna MTU aliyaweka humo.

Mlipuko kwenye ndege maana yake kuna kitu kimesababisha mlipuko.

Hicho kitu kilicho sababisha mlipuko hakikujiweka chenyewe. Kiliwekwa na watu wenye malice aforethought.

# I suspect his white wife( widow) might have something to do with the plane crash.

# She probably knows what has killed her husband.

# His 500 million USDs networth might be the motive behind his murder.

Masikini Kobe, they warned him about his white wife but he wouldn't listen.

Probably she was the one behind Kobe's misunderstanding with his parents.

#Up to his death, Kobe was not talking to his parents for the reason that they sold his childhood photos to a magazine for millions of dollars without his consent.

# Guys don't forget what God told us in the book of Exodus " Honour ur parents so that ur days may be many on the earth'

I can't believe. My heart is broken. And my soul is troubled just like Jesus when he learnt about the death of his friend Lazarus.

Guys ndege binafsi is too risky. Remember How Jim Reeves Died in 1964.

I wish I was reading " Tupac is Dead".

Kobe is Gone.
The Great Rock has fallen.

May Almighty God rest his soul in Eternal Peace. Amen.

UPDATE:
# Some people get me wrong. When I opine that his wife might have an hand on his death simaanishi uchawi kwamba kamroga. Hell No!!! Nazungumzia conspiracy. Like she conspired with some evil people to plant an explosive or something in the plane just like they did with the late Samora Machel.

#. Baadhi ya watu Wana kuja na hoja kwamba the wife asingeweza kufanya mchezo mchafu Kwa sababu Kobe kafa na binti yao. Come on!!! Guys do u think MTU hawezi kumuua mtoto wake Kwa sababu ya pesa?

In addition to that she might have capitalised on this fact to work on her favour as an alibi and indeed it's a very strong Alibi.( Don't think she is dumb. She is smart and it was a very smart move. The scene have to be dressed to look like something else just like Joseph's brothers did to his robe after they sold him to captivity.

Anyways Kobe might had think the same and may be he might have used her as a shield just like Habyarimana did with Cyprian Ntaryamira in 1994. He sensed foul play and used Ntaryamira as a shield but it couldn't help him.

# Whoever say money cannot change a person's heart or cannot get a person to do anything has not got enough of it.

# If they give you ten million dollars 4 ur mother's head u might not think twice just like ur mother if she is " blessed" with the same opportunity. In practice pesa ndio mungu wa dunia hii. Drey aliwahi kuimba " If money is the root, I want the tree',

# Achana kabisa na kitu kinaitwa pesa.

# This is my opinion. It's not a fact

We ni mwehu, unawezaje kuandika Thea’s ndefu hivi na Haina maana
 
Wi
Since when is Wikipedia an authority? Don't be misled by the Wikipedia
Since when wewe umekuwa authority??
Kuna references kibao zimewekwa.
Sasa kama wewe una references zako bring 'em
 
Kobe was not talking to his parents. Wikipedia hata wewe unaweza ku edit uka andika unacho taka.

# mine was an opinion. Not a fact. If u like take it. If u like don't take it.
 
Kama unaweza basi nenda kaandike kama kila mtu anaweza andika chochote wikipedia without evidence.
 
Bro hizi conspiracy theories haziwezi kumrudisha Kobe. Kobe hakuumbwa asife. Wanakufa watoto chini ya umri wa miaka mitano, sembuse mtu wa miaka 41? Kila mtu ana miaka yake ya kuishi duniani.
 
I smell a fish

To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated.

Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up.

There was a foul play, something like Yale Yale ya Samora Machel.

Ukiona maji yapo ndani ya chupa ujue kuna MTU aliyaweka humo.

Mlipuko kwenye ndege maana yake kuna kitu kimesababisha mlipuko.

Hicho kitu kilicho sababisha mlipuko hakikujiweka chenyewe. Kiliwekwa na watu wenye malice aforethought.

# I suspect his white wife( widow) might have something to do with the plane crash.

# She probably knows what has killed her husband.

# His 500 million USDs networth might be the motive behind his murder.

Masikini Kobe, they warned him about his white wife but he wouldn't listen.

Probably she was the one behind Kobe's misunderstanding with his parents.

#Up to his death, Kobe was not talking to his parents for the reason that they sold his childhood photos to a magazine for millions of dollars without his consent.

# Guys don't forget what God told us in the book of Exodus " Honour ur parents so that ur days may be many on the earth'

I can't believe. My heart is broken. And my soul is troubled just like Jesus when he learnt about the death of his friend Lazarus.

Guys ndege binafsi is too risky. Remember How Jim Reeves Died in 1964.

I wish I was reading " Tupac is Dead".

Kobe is Gone.
The Great Rock has fallen.

May Almighty God rest his soul in Eternal Peace. Amen.

UPDATE:
# Some people get me wrong. When I opine that his wife might have an hand on his death simaanishi uchawi kwamba kamroga. Hell No!!! Nazungumzia conspiracy. Like she conspired with some evil people to plant an explosive or something in the plane just like they did with the late Samora Machel.

#. Baadhi ya watu Wana kuja na hoja kwamba the wife asingeweza kufanya mchezo mchafu Kwa sababu Kobe kafa na binti yao. Come on!!! Guys do u think MTU hawezi kumuua mtoto wake Kwa sababu ya pesa?

In addition to that she might have capitalised on this fact to work on her favour as an alibi and indeed it's a very strong Alibi.( Don't think she is dumb. She is smart and it was a very smart move. The scene have to be dressed to look like something else just like Joseph's brothers did to his robe after they sold him to captivity.

Anyways Kobe might had think the same and may be he might have used her as a shield just like Habyarimana did with Cyprian Ntaryamira in 1994. He sensed foul play and used Ntaryamira as a shield but it couldn't help him.

# Whoever say money cannot change a person's heart or cannot get a person to do anything has not got enough of it.

# If they give you ten million dollars 4 ur mother's head u might not think twice just like ur mother if she is " blessed" with the same opportunity. In practice pesa ndio mungu wa dunia hii. Drey aliwahi kuimba " If money is the root, I want the tree',

# Achana kabisa na kitu kinaitwa pesa.

# This is my opinion. It's not a fact
These are just conspiracy theories. Let US intelligence experts do what they know best and the world will get detailed report on cause(s) of Chopper crash. Wenzetu weledi umewajaa hakuna kona kona
 
U people think like kids. Do you think a person cannot kill his or her children because of money?

May be Kobe thought the same way and used her as a shield.

May be she had this fact in her mind.That people like you will think like u do.

# It's just an opinion. Not a fact
Just the facts please.

Opinions are like asses, everyone has one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika tunapenda sana vijimaneno vingi, tayari ameishakufa tumpzishe kwenye Nyumba yake ya Milele hayo mengine tuachane nayo!
 
Sio sadaka kama mnazotoa kijijini KWENU Isungachupi. It's a conspiracy kama za wamama.wa kimachame.
You're smarter than that. Mali alizozichuma were sufficient enough for his and his daughters' generation to live Royal lives. Directing your mind into such class of thoughts, creates doubts about your beliefs and reasoning.
 
Back
Top Bottom