LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #61
Wi
Since when is Wikipedia an authority? Don't be misled by the WikipediaMkuu hili sio la kweli kabisa.
Kobe alikuwa anaongea na wazazi wake kabla ya kifo chake.
Kipindi ambacho alikuwa haongei na wazazi wake ni ile time alipomuoa Vannesa.
Wazazi wake walisusa kutokana na kwamba hawakutaka Kobe aoe akiwa na miaka 18 pili mwanamke alikuwa white na wazazi walikuwa wanapendelea aoe black american.
Baada ya Vannesa kujifungua mtoto wa kwanza, Gigi(huyu aliefariki kwenye ajali) mambo yalikaa sawa na walikuwa wanaongea.
Kuhusu nyumba hujasema kwamba mwisho wa siku wazazi walimuomba mtoto wao radhi kwa kuuza nyumba ambayo Kobe ilikiwa haki yake.
Na Kobe alikuwa na evidence zote za kuonyesha alikuwa anatoa financial support kwa wazaz wake.
Mkuu jitahidi ukiwa unatoa maono yako utumie facts na sio kuwa biased.
Unaweza ukawa sahihi kuwaza kuwa Vannesa amemuua kobe but you have to come with strong arguments kuliko UONGO huu ulioandika.
Rejea
![]()
Kobe Bryant - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
View attachment 1336470