#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

... hata Rwanda hapo sembuse China hamtaenda bila COVID-19 vaccination card; tena vaccination ambayo ni approved na wao sio "nyungu". No crossing a border without card! Kazi kwenu na mikauli yenu ya kijinga.
Duh naskia urwanda napo huingii
Nako[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
.... kinachofanya hali iwe mbaya ni aina mpya ya kirusi cha COVID Chief kilichoanzia SA.
 
... hata Rwanda hapo sembuse China hamtaenda bila COVID-19 vaccination card; tena vaccination ambayo ni approved na wao sio "nyungu". No crossing a border without card! Kazi kwenu na mikauli yenu ya kijinga.
Mbona unateseka sana? Nendeni mkachanjwe
 
Inawezekana maana rais wetu haishi kutuambia anataka kuifanya Tanzania iwe kama ulaya.
Anasema hivyo ili kuwaweka sawa kisaikolojia maana nyie akili zenu mlishetiwa na kina Lisu kwamba ulaya ndio wanakaa watu ila huku afrika mnakaa nyani
 
... Tanzania inaihitaji dunia; dunia haiihitaji Tanzania. Wakielewa kanuni hii rahisi itasaidia sana.
Unajuwa kuna watu wakiwa ndani ya Tanzania wanadhani tunajulikana sana ziko sehemu unakwenda na nyingi hawaijui kabisa Tanzania na uhakika ukienda kuweka jina la Zanzibar na Tanzania watasema tunaijuwa Zanzibar zaidi bila kujuwa Zanzibar Tanzania. sitaki kusema nilienda nchi gani naweza ikaonekana kama majivuno nilishtuka hawaijui kabisa Tanzania mpaka kutaja vivutio kama ushawahi kusikia Kilimanjaro au Serengeti basi ndio Tanzania.
 
Mbona unateseka sana? Nendeni mkachanjwe
... Umesikia kubwa lao wanavyolisuta duniani huko? Litakula matapishi yake ni suala la muda tu sembuse wewe kidagaa?
 
.... kinachofanya hali iwe mbaya ni aina mpya ya kirusi cha COVID Chief kilichoanzia SA.
Kwahiyo ni kweli kwamba mwaka jana tulifanikiwa kwenye mapambano dhidi ya corona hivyo tatizo la sasa ni hili wimbi la pili?
 
... Umesikia kubwa lao wanavyolisuta duniani huko? Litakula matapishi yake ni suala la muda tu sembuse wewe kidagaa?
Ahaaa.... Kachanjweni jamani acheni maneno mengi pelekeni miili hiyo mkachanjwe
 
Kwahiyo ni kweli kwamba mwaka jana tulifanikiwa kwenye mapambano dhidi ya corona hivyo tatizo la sasa ni hili wimbi la pili?
... additionally, mwaka jana kulikuwa na measures angalau za kueleweka - watu kuvaa barakoa, kunawa, na general public awareness angalau watu walichukua tahadhari. Sasa hivi sio chanjo tu, hata zile measures za mwaka jana zinabezwa hadharani hadi unajiuliza huyu mtu yuko sawa upstairs?
 
Dah Sasa naona unaenda kuwa Mfumo wa Kudumu hii corona Dah ituhurumie
 
Mbona wanatufanyia hivyo.

Ajenda yao ni nini?

[emoji35][emoji34]
 
Ila wakati mwengine ni uelewa wa hao watu wenyewe.
 
Tunaendelea kuboresha kila kitu, nyie endeleeni kusubiri chanjo mchanjwe
Miaka 60 bado mnaboresha, kama madawati tu yamewashinda kugundua chanjo itawachukua miaka 200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…