#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

Huu nao ni upuuzi hiyo ya manjano ilikuwa nn mbona ulijaza
Na cc tutatengeneza ya kwetu .....anyway ....chapa ya mnyama inakuja taratibu .....u will un able to do anything ...to buy or sell without it
 
uanongea kishabiki as if unaishi huko Usa.gonjwa ambalo alijatimiza hata mwaka lenye kuhitaj researches za hali ya juu ambazo kwa nchi nying hazijaweza kufanya tafiti na unaambiwa hata waliofanya hizo bado wana rush tu inahitaji muda kweli sio kukimbilia chanjow unless umeutengeza wew mwenyew ss harak unatoa chanjow unapiga hela.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wazungu wanalo jambo, tangu lini tabibu anamulazimisha mgojwa?. Mbona hawatulazimishi kutupa msaada kwenye elimu?. Kwa hili nasimama pamoja na RAIS. Wachichanje wenyewe na cc tupige nyungu zetu na maombi kwa mwenye enzi MUNGU wetu yakiendelea. Naamini mungu ajibuye na aponyaye atatusimamia
 
Kwel mkuuu
 
Poa tutaenda china au napo huko kuingia itakuwa mpaka chanjo uoneshe cheti

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Huko nako ni chanjo tu, hutaki ukifika airport yao tu unabong'oa wanatia kijiti cha inchi mbili huko nyuma kuhakikisha huna Corona ya ajabu ajabu toka Nchi ya kusadikika. The choice is yours bojo🤗
 
Nadhani hatuna hoja za msingi kukataa chanjo.kwasababu huko marekani na ulaya wao wamerekodi vifo vingi sana kutuzidi siye ingawa sisi hatuna records. Lakini tujiulize wao hawapendi kuishi?
Tusiwe na ubishi wa kijinga utadhani chanjo imeanza kutolewa leo hapa Tanzania.
 
Ni kweli nchi za wenzetu kukanyaga bila chanjo muhim ni ngum achia mbali chanjo ya covid
 
Ahaaa... Lazima mkachanjwe nyie, jiandae kuchanjwa. WHO imeshasema jiandaeni kupeleka mbaliga hizo mkachanjwe
Lugalo wameugua madaktari na manes 17 mmoja kafariki. Msikitini pale upanga wameswaliwa maiti 50 wiki hii tunaowajua wewe una ropoka na kupayuka tu hapa
 
Una chuki binafsi kubwa sana na Magufuli, halafu akili yako ndogo sana.
Stupid
 
Lugalo wameugua madaktari na manes 17 mmoja kafariki. Msikitini pale upanga wameswaliwa maiti 50 wiki hii tunaowajua wewe una ropoka na kupayuka tu hapa
Hao tu?

Uliza kwa beberu zako USA na Ulaya wamezikwa wangapi mpka muda huu
 
Ni Mara elfu nisichome hiyo kinga ya covid mavacation tutayalia mbugani mwendo wa nyama mwitu
 
[emoji867][emoji867][emoji867]
Akili yako ndogo sana wewe,
Tabia yako ni kama uliolewa halafu ukaachwa sababu ya tabia zako za kishenzi,
Ndio sababu unawachukia wanaume wote sasa akiwemo JPM.
Kutwa unabwabwaja humu JF kwa dharau na kejeli kuhusu JPM ni kama alikupa mimba halafu akakutekeleza
 
Vipi na sisi tukitengeneza chanjo yetu hapa, au mzungu ataleta figisu zake kwamba haijakidhi ubora wa viwango vya kimataifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…