#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

We ulisikia wapi? Ulisikia wapiiiii hii chanjo imesaidia watu? Majani ya mpera, kifumbasi, malimao, tangawizi ninajitia ndani ya blanket hiyo Chanjo wawape mbwa wanaolilia
sawa hata watoto msiwachome ndui, pepopunda, manjano nk wapeni majani ya mapera watafune.
 
Umeongea point sn watakaokuwa wanasafiri ndio watachanjwa na kwa tz sidhani maana mie ninayo yellow card na sijawahi chanjwa na kusafiri nimesafiri sn
Magufuli hawezi kufuta kauli yake kwa Sababu ya kadi ya covid-19. Uwepo wa kadi hiyo hauwezi kuifanya Tanzania itekeleze mpango wa wazungu wa massive vaccination. Watu watakaohitaji hiyo kadi ili wasafiri nje haizidi hata robo ya population nzima. Kitachofanyika hizo vaccine zitakuwepo kwa wale wataohitaji kusafiri nje tu. Ni kama vaccine za yellow fever, ukiitisha watu wenye kadi hizo ni wachache mno.
 
Wale ambao hatukupata nafasi ya kwenda ulaya kabla ya korona ulaya tutapasikia tu
 
D4E036FC-785D-4E86-B7B5-334AECFE6A47.jpeg
 
[emoji867][emoji867][emoji867]
Naona unamwakilisha Tundu hivyo vidole anavyokalia sasa huko kwa bwana zake ulaya.
Pole sana wewe shoga.
Chuki, kejeli na dharau zako kwa JPM, wewe ni sawa na Chura tu, huwezi kuzuia tembo kunywa maji.
 
Naona unamwakilisha Tundu hivyo vidole anavyokalia sasa huko kwa bwana zake ulaya.
Pole sana wewe shoga.
Chuki, kejeli na dharau zako kwa JPM, wewe ni sawa na Chura tu, huwezi kuzuia tembo kunywa maji.
🖕🖕🖕
 
Na cc tutatengeneza ya kwetu .....anyway ....chapa ya mnyama inakuja taratibu .....u will un able to do anything ...to buy or sell without it
Bado sana iyo chapa ya mnyama kiama kiko mbali saana kwa sasa.
Jiandae tu ni vizuri kusali
 
Hayo ndiyo matunda ya kutokuwekeza katika sayansi,technolojia na tafiti.Usipowekeza katika sayansi lazima tu uburuzwe.

Imagine lile dubwasha la Tanzania kutwa kupiga mayowe majukwaani sijui chanjo hazifai,sijui wazungu wanataka kutuua ,sijui wazungu wana wivu na sisi kwa sababu sisi ni matajiri sana na kadhalika lakini kuburuzwa ipo palepale!Kama sisi ni matajiri sana kwa nini hatuwekezi katika Sayansi,technologia pamoja na tafiti ili tuwe huru kama China?
Nimekuelewa sana hapa.
 
Wna Jf, Tatizo cyo chanjo, kinachotakiwa ni wataalamu wetu wachukue hizo dawa na kuzifanyia uchunguzi wa kina(deep proof) ili kuwa na uhakika kwamba hazina madhara kwetu. Kwa kuwa Huenda wao wakatumia chanjo iliyo bora na Sisi wakatuletea yenye madhara. Lakini pia nmeona Madaktar wa Italy wmefanya Postmortem kwa mgonjwa wa Covid na kutoa taarifa kuwa cyo Virus bali ni Bacteria. Hivyo Madaktar wetu inabidi wafanye findings vya kutosha khs Covid na tiba yke. Know there's a new Variant of covid, so take care its danger.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom