Mara nyingi nyama ya kuchomwa haivi vizuri, ndo maana ni hatariHivi umasaini wanakokula sana nyama kuna kansa sana? Ila niliambiwa nyama ya kuchomwa ni hatari sana.
Imekuwa organization ya matamko...WHO is a hopeless organization.
[emoji2][emoji2]Sasa tunywe Nini sasa nimeamua kuokoka zangu napiga tu soda na maji nimeacha bia
Mmeanza kunichanganya tena
Unakunya soda gani binti? Najua hujaanza K Vant.Imekuwa organization ya matamko...
Pepsi baridiii kabisaaa[emoji23]Unakunya soda gani binti? Najua hujaanza K Vant.
Sawa WHO [emoji23]Na vipi kuhusu SACCHARIN SODIUM !!?? Maana ni kama ASPARTAME !! Na inatumika muda mrefu sana tuu !!! (While early studies in the 1970s suggested that Saccharin Sodium may cause cancer in rats, subsequent research has produced mixed results). Wale wa SODA ZERO and the likes BE CAREFUL !!!
Hiyo ya nyama nyekundu iangaliwe upya na tafiti za kina zifanyikeWHO: Soda na pipi zinaviambata vinavyosababisha kansa, hapa wanapigania na DK mpango aliyesema ni kutumia madawa ya kutunzia maiti.
Report ya shirika la afya duniani limetaja sababu kuu za kupata kansa ni kula nyama nyekundu, kunywa soda, kumung'unya pipi, na kazi za usiku mara kwa Mara
USSR
View attachment 2687513
Hakuna mtaalamu atakae kujibu kitaalamu ukiongelea wamasai na wafugaji wengine ,utaambiwa wanakula sana mizizi waleHivi umasaini wanakokula sana nyama kuna kansa sana? Ila niliambiwa nyama ya kuchomwa ni hatari sana.