WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

Hawa nao sio wa kuwaamini sana,mnakumbuka kipindi Corona imepamba moto walivyosema,na baadaye wakaja kusema nini?!!!,In short waliji contradict wenyewe kwa hiyo ni kuwaacha hivyo hivyo.
Soda mbona iko wazi hata ukiachana na hao WHO? hakuna kitu pale ila unaweza endelea kunywa
 
Waende zao huko, tutakunywa chochote na kula chochote tunachotaka.
Kuna siku nilikuwa Hospitali moja Arusha ni Private ila ni hizi Kubwa, kuna Mama hivi alikuwa anaangua kilio kama kafiwa, baadae ndugu zake wanakuja kueleza ni amekutwa na kansa tena iko stage 4, so we ongea na muombe Mungu akuepushe ni kokombe hiki
 
Kuna siku nilikuwa Hospitali moja Arusha ni Private ila ni hizi Kubwa, kuna Mama hivi alikuwa anaangua kilio kama kafiwa, baadae ndugu zake wanakuja kueleza ni amekutwa na kansa tena iko stage 4, so we ongea na muombe Mungu akuepushe ni kokombe hiki
Kama Mungu kanipangia nipate kansa ntapata tu hata nikinywa maji tupu. Acheni uoga wa kuogopa maneno ya wazungu.
 
Hakuna Diet coke pale, ni wajinga ndio wanaweza amini, haya mavitu ni mwaka wa 10 sijayanywa,
Hata mimi sijawahi kunywa kabisa huwa nayaona tu madukani na matangazo yao
Lakini hawa watu wanafanya biashara tu na wakitaka kuleta kingine wamaanza kuponda
 
Kufa utakufa tu hakuna atayeishi milele.
 
Hakuna mtaalamu atakae kujibu kitaalamu ukiongelea wamasai na wafugaji wengine ,utaambiwa wanakula sana mizizi wale
Wamasai wanakula nyama sana tena hata hawanywi MAJI kihivyo lakini wala sijasikia Habari za Kansa Kwao au wakurya wanapiga nyama daily. Wangesema labda hayo makuku jinga ya KFC na nyama zao zinazitengenezea Viwandani. Hawa wanyama walikiwepo tangu Enzi za pontio pilato hatukusikia Kansa. Tulipoacha mfumo WA kula vitu frsh tunataka kufanya a na Wazungu ndio shida ilipoanzia. Wao Wana Kansa ya damu sana sababu ya vyakula vya Viwandani now na sisi tunawageza tunaona ndio class. Haya makuku jinga yataleta matokeo miaka si michache huko mbele
 
Back
Top Bottom