404 Pages
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,703
- 2,963
Ndio ukinywa sana yana madhara kunywa uji au shurubatiUkinywa maji sana yanamadhara [emoji23]
✍️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukinywa sana yana madhara kunywa uji au shurubatiUkinywa maji sana yanamadhara [emoji23]
Dah,kwahiyo sisi tunaokula choma ya kitimoto tupo hatarini sana[emoji25]Mara nyingi nyama ya kuchomwa haivi vizuri, ndo maana ni hatari
Yeah sana sana wakakimbilia kwenye ubongoDah,kwahiyo sisi tunaokula choma ya kitimoto tupo hatarini sana[emoji25]
anamaanisha kukosa muda wa kulaka hasa usiku, miili ya mwanadamu inazalisha tala nyingi sana ifanyaoo kazi, moja ya taka izo ni free radicals kama peroxides ambazo zikiwa nyi gi kwenye celi huwa ni mwanzo wa cancer,Kazi gn za usiku?
Itakuwa 'gongo' etii??!!! Hahahaaa....Bora tu vinywaji vyangu havijatajwa kwenye list...acha niendelee kulipatia taifa mapato
Daaah,so bora kula ya kukaangwa kabisaYeah sana sana wakakimbilia kwenye ubongo
[emoji3578]
Gongo hailiingizii taifa mapatoItakuwa 'gongo' etii??!!! Hahahaaa....
Ina hiyo aspartameWanasema mpaka Diet Coke inaleta cancer
Maziwa unaambiwa ni acidic tusile sana vitu vyenye acid tule vyenye alkalinityKunywa maziwa mkuu , Kwa afya Bora
Yani we acha tu nyama habari nyengine bhnaSoda na pipi naweza kuepuka, mtihani ni nyama
Maji, Mungu aliumba maji, kwenye Soda unatafuta Sukari au nini?Sasa tunywe Nini sasa nimeamua kuokoka zangu napiga tu soda na maji nimeacha bia
Mmeanza kunichanganya tena
Hakuna Diet coke pale, ni wajinga ndio wanaweza amini, haya mavitu ni mwaka wa 10 sijayanywa,Wanasema mpaka Diet Coke inaleta cancer
Kunywa maji make ukiuhua huwa unatundikiwa.maji na wala sio Soda, maana yake maji ndio muhimuTunwe togwa Basi.
Nenda Hospitali huko Arusha uone wanavyo hangaika, kila kitu too much ni mbaya sana,Hivi umasaini wanakokula sana nyama kuna kansa sana? Ila niliambiwa nyama ya kuchomwa ni hatari sana.
Wao wanatoa tahadhari sasa kunywa kuto kunywa ni up to youKwann wasitoe amri sasa viwanda vya soda vifungwe
Yale marangi rangi tokea utotoni tulikuwa tunasema yanaenda kupaka rangi utumbo [emoji3]
Akili yako mbovu kwani hao WHO wamesema hivyo ndio vyanzo pekee?WHO: Soda na pipi zinaviambata vinavyosababisha kansa, hapa wanapigania na DK mpango aliyesema ni kutumia madawa ya kutunzia maiti.
Report ya shirika la afya duniani limetaja sababu kuu za kupata kansa ni kula nyama nyekundu, kunywa soda, kumung'unya pipi, na kazi za usiku mara kwa Mara
USSR
View attachment 2687513