WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

Hawa nao sio wa kuwaamini sana,mnakumbuka kipindi Corona imepamba moto walivyosema,na baadaye wakaja kusema nini?!!!,In short waliji contradict wenyewe kwa hiyo ni kuwaacha hivyo hivyo.
 
Kwann wasitoe amri sasa viwanda vya soda vifungwe
Yale marangi rangi tokea utotoni tulikuwa tunasema yanaenda kupaka rangi utumbo [emoji3]
Sio viwanda vya soda tu,kuna sigara mkuu,WHO wanasema Sigara ni hatari kwa afya lkn hawafungi viwanda vya sigara wala kukomesha kilimo cha tumbaku.Hawa ni wahuni kama wahuni wengine tu.
 
Upuuzi mtupu.....hakuna kifo bila sababu....usipokufa kwa Kansa,utakifa malaria presha nk......acheni watu wafurahie maisha......
 
Kwenye nyama na kataaa wanataka tule mboga mboga Kwa kuwa wameshatengeneza mbegu za hizo mboga mboga ambazo ni weak kushambuliwa na wadudu ili ununue dawa upulizie kansa ibaki ndani ya mimea ukila uuguwe ili viwanda vyao vya dawa za mimea na dawa za binadamu vidumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…