WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

Kazi gn za usiku?
anamaanisha kukosa muda wa kulaka hasa usiku, miili ya mwanadamu inazalisha tala nyingi sana ifanyaoo kazi, moja ya taka izo ni free radicals kama peroxides ambazo zikiwa nyi gi kwenye celi huwa ni mwanzo wa cancer,
unaoolala mwiji hufanya kazi ya kutoa hizi taka zisijaribu cell kwa kutumia antoxdants vitamins kama vitamin C na E tocopherol kuyeyusha superoxide ziwe hydroperoxide ili ziwez kudiffuse na kutoka nnje ya celi
 
Kwangu mm vyakula vingi vya viwandani aka artificial nisumu sn mwilini nahasa wanavyouza supermarket. ..ndio mana wanaoshinda kwenye AC wanashida sn
 
Akili yako mbovu kwani hao WHO wamesema hivyo ndio vyanzo pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…