Soda mbona iko wazi hata ukiachana na hao WHO? hakuna kitu pale ila unaweza endelea kunywaHawa nao sio wa kuwaamini sana,mnakumbuka kipindi Corona imepamba moto walivyosema,na baadaye wakaja kusema nini?!!!,In short waliji contradict wenyewe kwa hiyo ni kuwaacha hivyo hivyo.
Maziws mtundi lakini, ndio yana viritubisho muhimuKunywa maziwa mkuu , Kwa afya Bora
Mbona gongo wanazuia hadi kwa mtutu wa bundukiWao wanatoa tahadhari sasa kunywa kuto kunywa ni up to you
Kuna siku nilikuwa Hospitali moja Arusha ni Private ila ni hizi Kubwa, kuna Mama hivi alikuwa anaangua kilio kama kafiwa, baadae ndugu zake wanakuja kueleza ni amekutwa na kansa tena iko stage 4, so we ongea na muombe Mungu akuepushe ni kokombe hikiWaende zao huko, tutakunywa chochote na kula chochote tunachotaka.
UlinziHizo kama za usiku ni kama zipi tuziepuke.
Ni red meat.Hivi kitimoto ni white meat au red meat?
Kama Mungu kanipangia nipate kansa ntapata tu hata nikinywa maji tupu. Acheni uoga wa kuogopa maneno ya wazungu.Kuna siku nilikuwa Hospitali moja Arusha ni Private ila ni hizi Kubwa, kuna Mama hivi alikuwa anaangua kilio kama kafiwa, baadae ndugu zake wanakuja kueleza ni amekutwa na kansa tena iko stage 4, so we ongea na muombe Mungu akuepushe ni kokombe hiki
pink meat [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kitimoto ni white meat au red meat?
Hata mimi sijawahi kunywa kabisa huwa nayaona tu madukani na matangazo yaoHakuna Diet coke pale, ni wajinga ndio wanaweza amini, haya mavitu ni mwaka wa 10 sijayanywa,
Sasa tunywe Nini sasa nimeamua kuokoka zangu napiga tu soda na maji nimeacha bia
Mmeanza kunichanganya tena
Ndio MkuuIna hiyo aspartame
Mara vile mara hivi anyway kufa kukopalepaleMdau wanakuvuruga
Mara vile mara hivi anyway kufa kukopalepaleMaji, Mungu aliumba maji, kwenye Soda unatafuta Sukari au nini?
Mara vile mara hivi anyway kufa kukopalepaleSnoothies aka juice isiyochujwa
Wamasai wanakula nyama sana tena hata hawanywi MAJI kihivyo lakini wala sijasikia Habari za Kansa Kwao au wakurya wanapiga nyama daily. Wangesema labda hayo makuku jinga ya KFC na nyama zao zinazitengenezea Viwandani. Hawa wanyama walikiwepo tangu Enzi za pontio pilato hatukusikia Kansa. Tulipoacha mfumo WA kula vitu frsh tunataka kufanya a na Wazungu ndio shida ilipoanzia. Wao Wana Kansa ya damu sana sababu ya vyakula vya Viwandani now na sisi tunawageza tunaona ndio class. Haya makuku jinga yataleta matokeo miaka si michache huko mbeleHakuna mtaalamu atakae kujibu kitaalamu ukiongelea wamasai na wafugaji wengine ,utaambiwa wanakula sana mizizi wale
Hata ugali ukila dona wanasema Lima sumu kuvu ukila sembe haina virutubishoUkinywa maji sana yanamadhara [emoji23]
Oh typo,thanksSmoothie