WHO wailaumu Tanzania kwa kuficha uchunguzi wa muathrika aliyeshukiwa kuugua Ebola - Reuters

Check Aljazeera, BBC na vyombo vya habari vya kimataifa wanavyowasema kuhusu kugoma kwenu kuwapa WHO ushirikiano. Haya yote yasingekua yanasemwa kama mngekua mumeweka kiburi chini na kuwaskliza.
Same attitude these Tanzanians have against IMF wanapika data zao kiuchumi tu .Wajuaji sana lakini vitu zitarudi ku-bite them hard.
 
Kama unaupenda Sana huo ugonjwa wa ebola nenda kachukua vimelea Kongo peleka kwenye banda lako hapo GOROKOCHO

Kama Taifa tuna haki ya kukataa haupo Wala haujawahi tokea .

Hao wazungu unaowaona wa maana ndio hao hao wasambazaji wakubwa wa haya magonjwa ya milipuko ili watengeneze pesa kwa kuuza madawa yao .

Japo huwa sikubalini na mambo yanayoendeshwa na serikalo ya nchi yangu

Lakini kwa hili nitalipigania Taifa langu
 
Wanaweza kuwa wataalamu ila nyuma yao kuna wafanyabiashara wa madawa na mambo ya tiba

Think aloud

Usimeze kila unapishwa
 
Same attitude these Tanzanians have against IMF wanapika data zao kiuchumi tu .Wajuaji sana lakini vitu zitarudi ku-bite them hard.
Taja kitu kimoja isharudi kutu bite us hard, those are your ill wishes, waswahili husema, dua la kuku halimpati mwewe.
 
Hii inahitaji hekima, kuna uwezekano mkubwa isiwe ni Ebola, ila kuzidi kuonyesha kiburi dhidi ya hawa WHO ni hatari sana.
Kweli kabisa, kuna ile nyingine ambayo inaitwa maburg, ni hatari pia kama ebola. Hawa watu wanatueka hatarini kwa kiburi chao cha peni mbili. Najua sasa hivi wanawaza watakavowasingizia upinzani kwa kuleta magonjwa hatari nchini na kuwa'snitch' kwa WHO. Akili zao wanazielewaga wao wenyewe.
 
Tungelegea tuu!!

Naomba tujilinde haswa kwa national elections. wasijepenyeza mambo yao.
 
Umesoma taarifa, au unakurupuka tu? WHO hawajasema chochote kuhusu 'outbreak'. Mahesabu makali ya serikali ya Tz ndio nini sasa? Chikungunya yenyewe hamuwezi kuidhibiti sembuse ebola. Au mnadhani mtatumia jwtz kupambana na ebola kama walivowatumia kubangua korosho?
 
Nategemea kusikia Serikali ikikanusha hii statement: "Identified contacts of the deceased were unofficially reported to be quarantined in various sites in the country,”
 
Acha usenge una wajua wazungu au unawasikia... Wanataka kuanzisha makelele ili wachafue image ya nchi... Kwan wanajua wakisema kuna ebola utalii utashuka watu wataogopa kuja bongo... Wanajua nchi itashuka kiuchumi...
As matter of fact wao hawakuepo kumpma huyo mgonjwa kuhakikisha...
As if walimtuma.....

Wameanza kitambo kampeni za kutaka kutuua sawa
 
Dogo kitu usichokijua ni kwamba serikali ya tz ina mahesabu makali sana,huwa hatukulupuki kama hao viongozi wenu,tulijifunza kwa malaria na hatutakubali turudie makosa,ile malaria ni miradi ya watu na tunaipunguza kwa kasi ya ajabu sana..
Hebu naomba uielezee kidogo hili jambo la malaria kuwa dili za watu.
 
Check Aljazeera, BBC na vyombo vya habari vya kimataifa wanavyowasema kuhusu kugoma kwenu kuwapa WHO ushirikiano. Haya yote yasingekua yanasemwa kama mngekua mumeweka kiburi chini na kuwaskliza.
Sasa wanataka ushirikiano au wanataka kuiingiza Ebola??

Unadhani Ebola Uganda Iliingiaje??

Hapa hatunag Upuuzii

Ingekuweko Ebola basi ingeonekana bila hata Uchunguzi waO UCHWARA
 
Unawalaumu wazungu kwamba wanataka kuzuia watalii, hivi unafahamu hao hao wazungu ndio watalii? Au unafikiria Mswahili kama wewe ndiye una jeuri ya kuwa mtalii.
 
Unawalaumu wazungu kwamba wanataka kuzuia watalii, hivi unafahamu hao hao wazungu ndio watalii? Au unafikiria Mswahili kama wewe ndiye una jeuri ya kuwa mtalii.
Kwani mkenya kama wewe una jeuri ya kuwa mtalii.?

Ushaambiwa hakuna ebola we unataka nini cha ziada ?

Una washwa washwa Sana na mambo ya Tz why?
 
Kwani mkenya kama wewe una jeuri ya kuwa mtalii.?

Ushaambiwa hakuna ebola we unataka nini cha ziada ?

Una washwa washwa Sana na mambo ya Tz why?

Tunahitaji WHO wapewe ushirikiano ili watoe tamko kwamba yote shwari, la sivyo kwa kiburi hicho cha uccm mtatuangamiza sote bara hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…