WHO wazitaka nchi za Afrika kufungua shule

Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona.

Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi wa watoto hao ikiwa ni pamoja na kutopata mlo kamili, mimba za utotoni pamoja na aina mbalimbali za uhalifu.

“Lazima tukahikishe kuwa juhudi za kudhibiti virusi vya corona hazitufanyi tuishie kuwa na kikazi kibovu. Kama mbavyo nchi zinafungua biashara kwa usalama, pia tunaweza kufungua shule,” Matshidiso Moeti, Mkurugenzi wa WHO Afrika.

Nchi sita pekee kati ya nchi 39 za Afrika ndizo zilizofungua shule kwa mujibu wa takwimu za WHO na UNICEF. Baadhi ya nchi hufungua shule kisha kuzifunga baada ya maambukizi ya corona kuanza kuongezeka, huku nyingine zikifungua kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza au wenye mitihani.

Wakati Tanzania ikiwa imefungua shule katika ngazi zote za masomo, Kenya imefuta mwaka wa masomo 2020, na shule zitafunguliwa mwaka 2021.
Huu ndio upumbavu wenyewe tunaoukataa Watanzania kwahiyo huo ugonjwa umeisha ? Au ndio wanapenda kuabudiwa wakisema funga bc watu wanafunga wakisema fungua hata kama maambukizi yapo watu wanafungua kwao ndio raha . Kwenye upumbavu wao huu Rais Magufuli amewazidi akili Marais wa duniani kote
 
waulize wakenya, na walivyo update kwa amri za mabeberu kesho wanazifungua
Wakenya apo watakwambia tunafungua kwasababu tunafuta kanuni za kisayansi maana huu ugonjwa kupambana nao unaitaji sayansi hahahaha ktk watu waliokosa maarifa hawa wenzetu wamezidi yani hata who leo wakisema mavi unaweza Kula hayana madhara yeyote ila kuna vitu tu vya faida utaongeza mwilini wakenya watakuwa wakwanza Kula sababu tu wamesema who
 
Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona.

Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi wa watoto hao ikiwa ni pamoja na kutopata mlo kamili, mimba za utotoni pamoja na aina mbalimbali za uhalifu.

“Lazima tukahikishe kuwa juhudi za kudhibiti virusi vya corona hazitufanyi tuishie kuwa na kikazi kibovu. Kama mbavyo nchi zinafungua biashara kwa usalama, pia tunaweza kufungua shule,” Matshidiso Moeti, Mkurugenzi wa WHO Afrika.

Nchi sita pekee kati ya nchi 39 za Afrika ndizo zilizofungua shule kwa mujibu wa takwimu za WHO na UNICEF. Baadhi ya nchi hufungua shule kisha kuzifunga baada ya maambukizi ya corona kuanza kuongezeka, huku nyingine zikifungua kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza au wenye mitihani.

Wakati Tanzania ikiwa imefungua shule katika ngazi zote za masomo, Kenya imefuta mwaka wa masomo 2020, na shule zitafunguliwa mwaka 2021.
MK254 mabeberu wamesema fungueni shule!!
 
Wameshaona dili lao limeingia mchanga. Hivi hizo nchi nyingine wameshindwa kuingalia Tz?
Hawataki kuiga Tanzania kwasababu ya wivu tu kuwa kwanini Tanzania ndio iwe nchi dume kwenye huu ugonjwa?
Magufulification of Africa soon kila goti litapigwa tu.
 
Eti kina Mbowe na membe walikuwa wanataka tuwekee full au partial lockdown sasa hata hizi rallies zao zingewezekana kweli? JPM songa mbele hao WHO wanatumia Tanzania kama Case study yao hawataki tu kupongeza ila uamuzi wako ndio umefanya leo maisha yaendelee vizuri tu na kuna taarifa nimeisoma leo the likely ya TZS kuwa firm ni kubwa na kenya ila yao itakuwa weak kwa siku chache za usoni sababu ni hii hii Convid19
 
Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona.

Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi wa watoto hao ikiwa ni pamoja na kutopata mlo kamili, mimba za utotoni pamoja na aina mbalimbali za uhalifu.

“Lazima tukahikishe kuwa juhudi za kudhibiti virusi vya corona hazitufanyi tuishie kuwa na kikazi kibovu. Kama mbavyo nchi zinafungua biashara kwa usalama, pia tunaweza kufungua shule,” Matshidiso Moeti, Mkurugenzi wa WHO Afrika.

Nchi sita pekee kati ya nchi 39 za Afrika ndizo zilizofungua shule kwa mujibu wa takwimu za WHO na UNICEF. Baadhi ya nchi hufungua shule kisha kuzifunga baada ya maambukizi ya corona kuanza kuongezeka, huku nyingine zikifungua kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza au wenye mitihani.

Wakati Tanzania ikiwa imefungua shule katika ngazi zote za masomo, Kenya imefuta mwaka wa masomo 2020, na shule zitafunguliwa mwaka 2021.
Labda MK254 atapita hapa
 
Back
Top Bottom