game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Shirika la Afya Duniani Limelaumu serikali ya Kenya kwa kupunguza kasi ya Kupima wakenya hali iliyopelekea kupungua kwa idadi ya Maambukizi ya Covid-19 nchini humo
Pia Shirika hilo limelaumu serikali ya Kenya kwa kutokuwa na uwazi katika data, serikali ya Kenya imekuwa ikificha ukweli kuhusu uhalisia wa ugonjwa huo wa Covid-19 ambapo Wizara ya Afya ya Kenya imedai Ku flatten curve.
Shirikia Limeamuru serikali ya Kenya kuongeza Juhudi kupima wananchi wengi zaidi.
Chanzo : ITV Habari.
Sent using Jamii Forums mobile app