WHO yalaumu Serikali ya Kenya kwa kuzembea kupima COVID-19

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Shirika la Afya Duniani Limelaumu serikali ya Kenya kwa kupunguza kasi ya Kupima wakenya hali iliyopelekea kupungua kwa idadi ya Maambukizi ya Covid-19 nchini humo

Pia Shirika hilo limelaumu serikali ya Kenya kwa kutokuwa na uwazi katika data, serikali ya Kenya imekuwa ikificha ukweli kuhusu uhalisia wa ugonjwa huo wa Covid-19 ambapo Wizara ya Afya ya Kenya imedai Ku flatten curve.

Shirikia Limeamuru serikali ya Kenya kuongeza Juhudi kupima wananchi wengi zaidi.

Chanzo : ITV Habari.

20200901_222001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha hakuna kitu kinauma kama kufuga mbwa wako na kumgharamia sana kwa kila kitu ila mwisho wa siku unakuja kugundua mbwa wako ni KOKO.. hata kubwekea majirani kwa matisho tu hawezi. Yeye ni kukunja mkia tu na kulala chini ya meza ya anaemfuga.

Hehe, mabeberu wameona kenya ni hovyo tu na hopeless. Imeshindwa kazi iliyoaminiwa itaweza kufanya. Matokeo yake bongo ndio inapeleka kilio kunyaland tofauti na matarajio ya mabwana zao.

Na wakomeshwe tu, watapike hela hizo walizokuwa wanachekelea..wamezigawana kama pombe za kienyeji kwenye sherehe.
 
View attachment 1555820

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapaswa kutangaza , mkopo wa vivid 19 waliomba wakapewa na kupima na kutangaza ni miongoni mwa Masharti
😂😂😂

DADEKI NA BADO..
Wanapaswa kutangaza, naona baada ya Kuona TZ tunadunda wakaona nao waige, wanasahau TZ ni Nchi huru

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ndio King!
2484593_most.jpg
 
Kenya ni kama mlupo unaojiuza umekula bata la gharama kwa gharama za msela halafu halitaki kutoa utamu

Lazima nguvu itumike na ndio matatizo ya kuomba omba, Kenya limekuwa Taifa la kuomba omba, sio chakula, sio mpaka maji kuoga wananchi lazima beberu azame mfukoni.
 
Uki staajabu ya Musa utashangaa ya firahu i ...ss huko UG vipimo vya Covid 19 vimekuwa dili na chanzo cha mapato ya serikali kupima covid ss ni unalipia kiasi kama 240k UGx . Hii baada ya wahisani ss kuanza kuwithdraw ule msaada wa fedhaaa
 
Tunatawaliwa kiwaki balaa, kisa msaada tu, na vitu vidogo vidogo vingi vinavyoingia Africa kwa jina la msaada..... Inasababisha inchi za Africa ( like Kenya) wako kwenye cold colonialism ,unknowingly 😳😳

Poleni jirani zetu
 
Hahaha, amekula hela za jamaa halafu hataki kutoa gemu [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uki staajabu ya Musa utashangaa ya firahu i ...ss huko UG vipimo vya Covid 19 vimekuwa dili na chanzo cha mapato ya serikali kupima covid ss ni unalipia kiasi kama 240k UGx . Hii baada ya wahisani ss kuanza kuwithdraw ule msaada wa fedhaaa
Hawa majirani zetu mpaka waamke huko usingizini sio leo, Jirani Mjinga zaidi ni Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatawaliwa kiwaki balaa, kisa msaada tu, na vitu vidogo vidogo vingi vinavyoingia Africa kwa jina la msaada..... Inasababisha inchi za Africa ( like Kenya) wako kwenye cold colonialism ,unknowingly 😳😳

Poleni jirani zetu
Kenya is not fully independent, by Julius Malema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la Afya Duniani Limelaumu serikali ya Kenya kwa kupunguza kasi ya Kupima wakenya hali iliyopelekea kupungua kwa idadi ya Maambukizi ya Covid-19 nchini humo

Pia Shirika hilo limelaumu serikali ya Kenya kwa kutokuwa na uwazi katika data, serikali ya Kenya imekuwa ikificha ukweli kuhusu uhalisia wa ugonjwa huo wa Covid-19 ambapo Wizara ya Afya ya Kenya imedai Ku flatten curve.

Shirikia Limeamuru serikali ya Kenya kuongeza Juhudi kupima wananchi wengi zaidi.

Chanzo : ITV Habari.

View attachment 1555820

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua katika ukanda huu Kenya inaongoza Kwa uzembe mpaka WHO wanawajua . Hamna wanachopima chochote wanachojua wao kuficha idadi ya vifo tu
 
Haha hakuna kitu kinauma kama kufuga mbwa wako na kumgharamia sana kwa kila kitu ila mwisho wa siku unakuja kugundua mbwa wako ni KOKO.. hata kubwekea majirani kwa matisho tu hawezi. Yeye ni kukunja mkia tu na kulala chini ya meza ya anaemfuga.

Hehe, mabeberu wameona kenya ni hovyo tu na hopeless. Imeshindwa kazi iliyoaminiwa itaweza kufanya. Matokeo yake bongo ndio inapeleka kilio kunyaland tofauti na matarajio ya mabwana zao.

Na wakomeshwe tu, watapike hela hizo walizokuwa wanachekelea..wamezigawana kama pombe za kienyeji kwenye sherehe.
Mbona washaanza kujua faida ya ujamaa hawa [emoji205]
 
Kenya imeshakula hela za mabeberu, ni zamu yao kuliwa sasa [emoji23][emoji23]
 
Hawa majirani zetu mpaka waamke huko usingizini sio leo, Jirani Mjinga zaidi ni Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kule kweli kuna corona ! Shida ni wao kutaka kuji compare na Tz, unajua wakenya Tz imewakaa mdomo mwao sanaa yaan wao kila kitu wataji compare na Tz, ss wasikie Tz imewashinda kitu flan hapo ndio mioyo yao inapoanza kupapatika.
Upumbavu walio ufanya ni pale walipo mdhihaki Mungu kwa kujitangazia eti maiti zitazagaa sana Tz sababu ya covid, ss Mungu kawapiga kofi . Yaan ukiwa kule tweeter ndio utajua jinsi gan hawa watu akili zao ni finyu
 
Back
Top Bottom