#COVID19 WHO yasema haina taarifa za COVID-19 kutoka Tanzania

#COVID19 WHO yasema haina taarifa za COVID-19 kutoka Tanzania

Huyu Mkurugenzi Mungu akituweka hai atakuja kuwa shahidi muhimu sana kwenye kesi ya mauaji itakayomkabili meko huko mbeleni.
Unamapepo ndio yanakuongoza kuandika haya. Sio wewe ni hiyo mipepo iliyomo ndani yako.
 
Asante mkuu kwa maelezo yako yaliyoshiba. Nia na madhumuni ya hii mjadara ni kutafuta nafuu dhidi ya hili gonjwa. I wish ningemfahamu huyo mama hata kwa jina nifuatilie mijadala yake kuhusu Corona. Kwa uzoefu huo hakika ana jambo tena lenye manufaa kwa jamii ya kimataifa...
Huyo mama anaitwa Profesa. Dolores Cahill, video clip ya interview inapatikana : https://www. facebook. com/worldfreedomalliance /video/870194336887240/?sfnsn=scwspwa

Ukitaka kumjua zaidi fatilia link hii hapa: https://m.facebook.com/ifpdolorescahill/

Tafuta interview bainayake naCatherin Austin Fitts utajifunza mengi kuhusu umafia wa makampuni ya madawa na ushenzi wa Bill Gates.
 
Taarifa ya nini? Wanataka kutambika? Kama wangelikuwepo, wangeliambiwa
 
Kwani WHO ikipata taarifa za takwimu za COVID-19 kutoka tz wanasaidiaje? Mbona vifo vimezidi hata huko nchi za ng'ambo?

Nadhani bado hujajua COVAX project ambapo mataifa tajiri yanachanga pesa kununua chanjo kwa ajili ya nchi zinazoendelea. WHO ikipata infection rate, inafanya allocation ya vaccines. Hata mnapopewa za polio, surua, kansa ya kizazi - huwa mnakuwa mmepeleka taarifa huko WHO.

Huko ng’ambo kuna vifo vingi lakini wanajua ni wangapi wanaumwa na wamekufa. Wanachukua hatua (nyingine hatuwezi kuzichukua) lakini kubwa kabisa, HAWAJAKANA uwepo wa tatizo!!! Ukishakana jambo, unaanza figisu kuzuia ukweli usijulikana - ndio ambacho tunafanya na hatuko sahihi!!
 
Back
Top Bottom