EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Unamapepo ndio yanakuongoza kuandika haya. Sio wewe ni hiyo mipepo iliyomo ndani yako.Huyu Mkurugenzi Mungu akituweka hai atakuja kuwa shahidi muhimu sana kwenye kesi ya mauaji itakayomkabili meko huko mbeleni.
Unamapepo ndio yanakuongoza kuandika haya. Sio wewe ni hiyo mipepo iliyomo ndani yako.Kweli we ni.... Halafu unaweza kukuta ni kiongozi mkubwa na unataka uraisi. Hayo ni majibu gani?..
Huyo mama anaitwa Profesa. Dolores Cahill, video clip ya interview inapatikana : https://www. facebook. com/worldfreedomalliance /video/870194336887240/?sfnsn=scwspwaAsante mkuu kwa maelezo yako yaliyoshiba. Nia na madhumuni ya hii mjadara ni kutafuta nafuu dhidi ya hili gonjwa. I wish ningemfahamu huyo mama hata kwa jina nifuatilie mijadala yake kuhusu Corona. Kwa uzoefu huo hakika ana jambo tena lenye manufaa kwa jamii ya kimataifa...
Asante sana mkuuHuyo mama anaitwa Profesa. Dolores Cahill, video clip ya interview inapatikana : https://www. facebook. com/worldfreedomalliance /video/870194336887240/?sfnsn=scwspwa...
Cheers.Asante sana mkuu
Kwani WHO ikipata taarifa za takwimu za COVID-19 kutoka tz wanasaidiaje? Mbona vifo vimezidi hata huko nchi za ng'ambo?