When you produce what you don't consume you mean businessProf. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.”
Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa.
As what am seeing tunapoelekea hata producing for other to consume will not be the case.
- Sasa labda tujiulize WHY?!
- Na Je ni kweli?
- Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue?
Umegusa jambo la muhimu sana ni kweli kabisa mentality hiyo tunayo pia na inatufanya tuendelee kuwepo hapa.Is only leaders ? Iwapo tuna mentality made ya made in Africa haifai ni Ujima na anything from abroad ndio ujanja..., Nahisi pia mental slavely inachangia
Nachoweza kusema uelewa wako ni wa chini sana, labda tafuta mtu wa karibu yako akueleweshe kilichoongelewa (Prof. Alimaanisha nini) alafu urudi hapa uje na vitu vyenye tija.... As of now kusema upo nje ya Mada is understatement...ACHA majungu mbwa wewe,Kuna wanawake wenye rangi nzuri,au wanaume wenye nguvu za sex kama waafrika,kama umeshatatuliwa Malinda nenda huko huko kwa rainbow AMBAO they can't function,usibeze productions za Africa,vyakula asili vyote vinatoka Africa, European products originate from Africa,P Diddy yupo nyuma Yako, European+ American history is nothing without Africa
umenikumbusha swali la History paper two miaka ya tisini mwishoni.Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.”
Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa.
As what am seeing tunapoelekea hata producing for other to consume will not be the case.
- Sasa labda tujiulize WHY?!
- Na Je ni kweli?
- Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue?
Kwamba viwanda ambavyo viligunduliwa hata kabla ya 1800s huko mpaka leo kwenye robotics tunashindwa na tumekuwa tunashindwa kuiba hio teknolojia au hata kuleta wao kama experts kuweza kufanya kazi. Binafsi hapa kuna point moja kwa sasa hata kuzalisha vitu (viwanda) huenda ikawa gharama kuliko kuagiza China (Na hio ni pamoja na vitu kama Nishati kuwa gharama ingawa tuna vyanzo vya Nishati kuliko mataifa mengi ulimwenguni (hapa naongelea Tanzania)We produce raw materials na kuwauzia wazungu sababu hatuna teknolojia ya viwanda ,
Hivi hata kabla ya ujio wa Mataifa ya nje tulikuwa hatufanyi hayo hapo juu ? Tulikuwa tunaishi vipi ?the same tunatumia tusivyo vizalisha sababu hatuna tecnolojia ya uzalishaji, mfano tecnolojia ya habari,uchukuzi ,Afya na elimu
Na lilikuwepo hata kabla haujazaliwa ingawa kabla ya Ukoloni huenda haikuwa hivyo..., na tunapoelekea hata Production of anykind itakuwa haipo itakuwa why Africans eat makombo and not even produce enough of their necessities....Swali hili nimelisikia tangu Niko secondary zaidi ya miaka 15 sasa.
Na lilikuwepo hata kabla haujazaliwa ingawa kabla ya Ukoloni huenda haikuwa hivyo..., na tunapoelekea hata Production of anykind itakuwa haipo itakuwa why Africans eat makombo and not even produce enough of their necessities....
Kwanini sisi na sio wao, yaani vibarua na mabosi ? Pili kwa dunia ya sasa ya plenty na robotics utumwa na vibarua wala sio necessary na kwa sasa hata kile Kibarua cha kubembeleza mtu hapati...., Yaani hata ule ujira wa mtu kuweza kupata mlo wake wa kila siku haupo (not provided)umenikumbusha swali la History paper two miaka ya tisini mwishoni.
tunaishi duniani kwa kutegemeana kama kuna "bwana" lazima pia awepo "mtumwa." kuna boss na kibarua. hiyo ni nature!!!!
JESUS is Lord&Savior