Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #21
Nadhani mwenye Elimu duni atakuwa wewe..., Kabla ya Ujio wa Mataifa ya Mbali Africa watu waliishi vipi ? Pili unajua kwamba Civilization haikuanzia Western ?Waafrica ni jamii ambayo ni duni kiakili na kiutambuzi haina uwezo wa kujinasua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Swali Kama hili linaulizwa na prof hii inaonesha Elimu yake haijamkomboa
Tatu unajua kuna historical remains ya sehemu hata Tanzania ambapo kulikuwa kuna ufuaji wa chuma, pottery n.k. kuonyesha kwamba jamii hizo before being disrupted zilikuwa sustainable ?
Nadhani kwa jibu lako, kama wapo wengi wenye mawazo kama wewe basi tatizo ni mental slavery