Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #41
Je hatuwezi kusurvive bila manufacturing ? Yaani tuzalishe for our consumption kuzalisha for the world tuwaachie China..., Kuna top industries nyingine ambazo tunaweza kujikita, Tourism ikiwa mojawapo.., pia Africa as a continent kama tukiishi symbiotically we can be self sustainable1). Nguvu ya soko(soko letu haliwezi ku-exel/run manufacturing industry smoothly)
Tuna the biggest mountain in Africa, Tanzania ndio Mecca ya Dunia; The Craddle of Human Kind..., Tanzania ni moja ya Mecca ya Africa (katika mapambano ya Uhuru wa Africa) Tungeweza kufanya Butiama watu wakawa wanakuja kutalii na kuona jinsi mapambano ya Ukombozi wa Africa yalivyoendesha with one Son of Africa (badala ya kuanza kumlaumu na kumtukana); Kwahio tatizo ni marketing na kutengeneza kubadilisha vitu vingi vilivyopo kuwa commodities
Sio lazima tuzalishe as in manufacturing ili tuwe giants (ingawa ni upuuzi kutokufanya hivyo wakati as a continent tunaweza kufanya trading as in make things for one another) Kuna nchi zimekuwa tajiri sababu ya innovation na banking as well as Tourism....2).Ni uhalisia usio chini ya asilimia 75%,
Wavijijini huku tunatumia bidhaa ikiwa ghafi bado kwahiyo kwamba namna moja tunatumia tunachokizalisha. Pia siku hizi mambo yameanza kubadilika kidogo kidogo sukari mafuta ya kula...
Moja ya sababu ni kwamba hatuna mitambo au viwanda vya kuzalisha bizaa kamili na tayari kwa mtumiaji.
Na hizo malighafi tunapangiwa bei ya kuuza sio sisi ambao ndio tunapanga kwahio hata tunaouzia ni kwamba wamekuwa walaghai wa wao kuamua ni nini kiwe bei ganiMiaka nenda rudi tumeishia kuchakata tu malighafi (processing industry), baada ya hapo malighafi zinasafilishwa kuelekea nchi zilizoendelea ambako huko ndio kuna manufacturing industry na ndio soko lenyewe.
Kwahio kabla ya yote ni jinsi gani tunaweza kufanya watu wakapata ujira wa kutosha tena kwa lugha sahihi disposable income ? (As tunapoelekea mambo yanakuwa worse middle income zinapotea tunapata matajiri wachache na mafukara wakutosha) Kama J. M. Kairuki alivyosema kuhusu Kenya... A Nation of 10 Millionaire and 50 Million Beggars....Tungesema tuamue kua mnyororo wote wa thamani ukamilikie huku zile bidhaa zetu kwa soko la ndani ni ni dogo na purchasing power ya jamii yetu ni mdogo sana kuweza ku run manufacturing industries... Pia kuuza nje zingekosa soko la nje, utamuuzia nani na wakati soko la nje kule kuna wazawa wameliteka soko lao kwa kuagiza malighafi kutoka huku huku Africa.
Na kwanini tuhangaike kuwauzia sababu tumefungwa kwenye mentality kwamba tunahitaji fedha za kigeni ili tupate basics zetu (yaani mafuta) wakati Africa kuna nchi zina mafuta (madawa) wakati tungeweza kuiga hata India na kufanya Copying and Pasting ya ku manufacture dawa, na kila luxuries tunatoa nje....Kwahiyo na sisi Africa hatuna namna inatubidi tugombanie hilo hilo soko la kuwauzia malighafi kama vile Korosho, kahawa, chai etc. Ni ilimradi tu na sisi tuambulie chochote.
Mfano mdogo ni sasa hivi Nishati Safi ya Kupikia tunawaambia watu watumie LPG waache Kuni, wakati hio LPG tunaagiza..., badala yake why not Use UMEME na Nishati zilizopo nchini watu wapikie ?
Tena achana kabisa na hio PPP, Tufanye Soko liwe Huru watu binafsi wakiona fursa washindane wenyewe kwa wenyewe kugombania wateja..., UMMA Serikali ijikite fully kwenye Sekta chache ambazo ni Commanding Heights; Mfano Nishati, (TANESCO) Usafiri (SGR, TRAIN na MELI ndege ambayo ni luxurious wawaachie watu binafsi in free market labda wabaki na viwanja napo watoe leases) MAKAZI (NHC iweke some affordable housing sio luxurious na zenyewe kwenye free market kwenye Ushindani) BANKING (Angalau Moja kwenye Free Market) MAWASILIANO (TTCL kwenye free Market) hayo mengine Kodi zetu zisiwekwe rehani3). Kuandaa sera nzuri zitakazo rahisisha uwekezaji nchini, ubia ubinafsishaji, PPP.
Pia soma
Thread 'Vunja Statasi Kuo, (2025-2050) Ni Nyakati Za Mabadiliko Kuifikia Tanzania Tuitakayo' SoC04 - Vunja Statasi Kuo, (2025-2050) Ni Nyakati Za Mabadiliko Kuifikia Tanzania Tuitakayo
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...