Why Africa produces what it does not consume and consume what it does not produce?

Waafrica ni jamii ambayo ni duni kiakili na kiutambuzi haina uwezo wa kujinasua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Swali Kama hili linaulizwa na prof hii inaonesha Elimu yake haijamkomboa
Nadhani mwenye Elimu duni atakuwa wewe..., Kabla ya Ujio wa Mataifa ya Mbali Africa watu waliishi vipi ? Pili unajua kwamba Civilization haikuanzia Western ?

Tatu unajua kuna historical remains ya sehemu hata Tanzania ambapo kulikuwa kuna ufuaji wa chuma, pottery n.k. kuonyesha kwamba jamii hizo before being disrupted zilikuwa sustainable ?

Nadhani kwa jibu lako, kama wapo wengi wenye mawazo kama wewe basi tatizo ni mental slavery
 
Muafrika alitoka kweny uhalisia wake akaingia sehemu ambako hapawezi mpaka leo ...Unaweza kujiuliza kwa nn hakuna athari chanya za kimatokea ya elimu hata wale waliosoma mpaka Vyuo vikuu huko nje.

Utakuja kugundua ni akili na utashi binafsi hatuna , mafanikio ya msomi kufanya kazi katika NGO's za kimtaifa ili kupata pesa kununua nyumba na magari basi hapo kamaliza ...Hata magari tunayotambiana yanatoka nje , kila kitu cha nje inakuwa ni ndoto yetu .


Video vya uzalishaji bidhaa zipo youtube kibao ila hatuwezi hata kucopy , tumebaki kusema ''China anacopy ''
 
Batter system is not bad, even what we consume are not consumed by those who produce from other continent.
 
What are they produce , and what they can't consume exactly, may be in education system

hat
 
What are they produce , and what they can't consume exactly, may be in education system

hat
 
Batter system is not bad, even what we consume are not consumed by those who produce from other continent.
Let me give you a scenario, you plant your cashewnuts with hard toil and sweat..., then you sell it as unprocessed to other chaps for peanuts.., they process it and resell it back to you at premium prices...

Is that what you call not bad ?
 
Industrial Revolution. Dunia haiendi unavyoona mkuu.Mfumo ndio unaiendesha
Is Revolution still going on ? As far as I know now we are in Technological Revolution, is that bus still around or we will miss it as Well ?
 
cc LUMUMBA

Mimi ninachozalisha ndicho hicho ninachokitumia. Nalima Nyanya, zikikomaa na kuiva, navuna kupeleka kwenye mboga.
 
cc LUMUMBA

Mimi ninachozalisha ndicho hicho ninachokitumia. Nalima Nyanya, zikikomaa na kuiva, navuna kupeleka kwenye mboga.
As a Continent do we do the Same ? Au hata Sasa hivi Nishati Safi ya Kupikia tunawaambia wanakijiji Kuni ni Mbaya (which is okay) lakini tunawapa alternative gani ? (Sio kutumia Biogas, au umeme ambao tunao na kuzalisha) tunawapelekea Mitungi ya Gesi ambayo inahitaji Kuagizwa kutoka Nje....
 
Mbona kama gukupaswa kusema hivi na Wala hujaelewa alichoandika embu tafadhari naomba ujadibu Tena kusoma angalau kidogo na Kwa welevu mkubwa
 
Hah form six ndo niliweza jibu haya maswali 2009,sasa hivi siweziiiii nimezeeka
 
Hah form six ndo niliweza jibu haya maswali 2009,sasa hivi siweziiiii nimezeeka
Kwahio maswali kama haya hayana practical use au uhalisia kwenye dunia / kinachoendelea ? Yaani ni kama Isidingo, Kwahio huenda ni kweli tunajibu maswali au kusoma ili tushinde mitihani na sio ku apply the same in real world...
 
In our village life, mostly we are doing the same. Tunalima na kuvitumia sisi wenyewe.
Habari za gesi na mitungi ya gesi ni ukanjanja wa viongozi wetu.
 
In our village life, mostly we are doing the same. Tunalima na kuvitumia sisi wenyewe.
Habari za gesi na mitungi ya gesi ni ukanjanja wa viongozi wetu.
And that is what as a Continent we were doing kabla ya Ujio wa Wakoloni..., Tulikuwa na watu kama kina Mansa Khankan Mussa arguably tajiri mkubwa kuwahi kutokea...
 
Uongozi thabiti haupo hapa Afrika, hatuna viongozi visionaries kama Kagame na Magufuli
 



Kuna siku nilimsikiliza Dr mmoja anazungumzia kuwa sababu ya sisi kuwa nyuma kiuchumi ni Kwa sababu tumetawalia.

Ila mbona nchi na nyingine zilitawalia Ila zimeendelea Sana kiuchumi?

Ukifatilia duniani kote sehemu anayopatikana MTU mweusi huwa haina maendeleo .
 
1). Nguvu ya soko(soko letu haliwezi ku-exel/run manufacturing industry smoothly)

2).Ni uhalisia usio chini ya asilimia 75%,
Wavijijini huku tunatumia bidhaa ikiwa ghafi bado kwahiyo kwamba namna moja tunatumia tunachokizalisha. Pia siku hizi mambo yameanza kubadilika kidogo kidogo sukari mafuta ya kula...

Moja ya sababu ni kwamba hatuna mitambo au viwanda vya kuzalisha bizaa kamili na tayari kwa mtumiaji.

Miaka nenda rudi tumeishia kuchakata tu malighafi (processing industry), baada ya hapo malighafi zinasafilishwa kuelekea nchi zilizoendelea ambako huko ndio kuna manufacturing industry na ndio soko lenyewe.

Tungesema tuamue kua mnyororo wote wa thamani ukamilikie huku zile bidhaa zetu kwa soko la ndani ni ni dogo na purchasing power ya jamii yetu ni mdogo sana kuweza ku run manufacturing industries... Pia kuuza nje zingekosa soko la nje, utamuuzia nani na wakati soko la nje kule kuna wazawa wameliteka soko lao kwa kuagiza malighafi kutoka huku huku Africa.

Kwahiyo na sisi Africa hatuna namna inatubidi tugombanie hilo hilo soko la kuwauzia malighafi kama vile Korosho, kahawa, chai etc. Ni ilimradi tu na sisi tuambulie chochote.

3). Kuandaa sera nzuri zitakazo rahisisha uwekezaji nchini, ubia ubinafsishaji, PPP.

Pia soma
Thread 'Vunja Statasi Kuo, (2025-2050) Ni Nyakati Za Mabadiliko Kuifikia Tanzania Tuitakayo' SoC04 - Vunja Statasi Kuo, (2025-2050) Ni Nyakati Za Mabadiliko Kuifikia Tanzania Tuitakayo
 
Kuna siku nilimsikiliza Dr mmoja anazungumzia kuwa sababu ya sisi kuwa nyuma kiuchumi ni Kwa sababu tumetawalia.
Moja tunapima maendeleo Kwa jicho / perspective ya Kimagharibi hapa tunaongelea nchi kama India na kwa kuionea wizu kwamba imeendelea wakati kuna gap in classes na mafukara wa kutosha..., Sasa hivi utasikia kila kitu kizuri kama ulaya yaani mtu anaona kuwa na aircondition huko kwenye Natural AC ndio ujanja na utajiri wakati anayemuonea wivu huenda anakaa kwenye one bedroom apartment na hana hata garden...
Ila mbona nchi na nyingine zilitawalia Ila zimeendelea Sana kiuchumi?
Kuna bara ambalo lliliathiriwa na Utumwa na culture zao kuwa disrupted..., Huku ndio walikuwa wanataka natural resources hivyo marginalization ilikuwa ikifanyika sana ingawa kwa sasa they do not need to do than ile brainwashing ya vibaraka ambao ndio viongozi wetu sasa hivi wanawapelekea kila kitu na kuuza utu wetu in silver platter....
Ukifatilia duniani kote sehemu anayopatikana MTU mweusi huwa haina maendeleo .
Tofautisha mtu aliyekwenda sehemu kama muhamiaji (huyo huwa apambana sana kama vile first generation za wahamiaji wahindi na waisrael kwenye nchi nyingine) na tuofautisha mtu alipelekwa sehemu nyingine kama mtumwa hivyo lacking identity na chuki dhidi yake..., ingawa vilevile kama unaongelea USA Blacks wamekuwa wakipewa a raw deal na hio ikishajengeka kwamba no matter what you do huwezi kupata a fair opportunity people even stop trying..., Unadhani kwanini Blacks wengi wame exel kwenye sports USA..., ni baada ya kuona kina Jordan, Mohamed Ali n.k. so they work hard on that front....
 
pia usisahau dunia inaendeshwa na mfumo wa kiuchumi wa kibepari. ubepari hutengeneza matabaka. yaani tabaka la watawala na watawaliwa. Tabaka la wanyonyaji na wanyonywaji. lazima awepo anayenyonywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…