Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
ur reference is Kenyan wallstreet? hehe...remember this is the era of fake news...anyone can write those things especially people who dont support Jubilee govt...umesahau huu ni msimu wa kupiga kura...leta data toka World Bank ama IMF ndio tuzungumze. kama wazee....this can be a NASA supporter who came up with such news...Don't talk about Kenyan GDP in public ni aibu. Kaa kimia kabisa. It is cooked at a highest level.View attachment 555692View attachment 555694
Asante kwa kuongea ukweli mkuu. Huyo Mulisaa ana mambo yakeUtakuwa unaishi Tanzania ya Burundi. Mshahara uliokuwa quoted hapo unazidi what most graduates earn in Tanzania. Mathalani hiyo 35000Ksh ambayo umeiweka kuwa equivalent to 700,000 Tsh ni zaidi ya mshahara (gross pay) unaolipwa to graduates walioko public sector especially local government kwenye kada za ualimu, arts na hata business.
Ulichoquote kama mshahara wa 12 M kwa graduate inawezekana inalipwa kwa 1 tu among 1000 graduates.
I dont give fake news you can Google that on your own my friend.ur reference is Kenyan wallstreet? hehe...remember this is the era of fake news...anyone can write those things especially people who dont support Jubilee govt...umesahau huu ni msimu wa kupiga kura...leta data toka World Bank ama IMF ndio tuzungumze. kama wazee....this can be a NASA supporter who came up with such news...
juzi CNN na BBC walikana ripoti zilizokuwa zikizungumzia kenyan elections...fake news...
How can someone making $500 be poor in Kenya? Soma article yote ukimalizniulize tena hilo swaliwhat does cooking figures have to do with this article? hehe...sindano nikama imeingia..huna hoja..mimi nataka u prove hili...how can a person who makes 500 dollars a month be poor..remember 500 dollars per month is 6000 dollars every year..that is South Africa's per capita income...
Hiyo list inasema top ten soma heading. Kenya top ten hampo zaidi ya TZ.hapo tz wameweka 49 billion...kenya GDP is 75 billion and was 69 billion in 2016...it was 63 in 2015...ina maana GDP yenu ya 2017 iko ndogo kuliko GDP yetu ya 2013...yaani unachekesha kweli...usifananishe Kenya na TZ...kisha kumbuka nyie ni wengi kutuliko zaidi ya watu 5 million...hiyo listi sijui umeitengeneza wewe sababu sioni Kenya pale..
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
2017 report shows Tanzania is the 5th in the WORLD with the fastest growing economy. Yani speed yetu niya 4G. Wazungu mwenyewe wanashangaa tunavyo kuza uchumi wetu.hapo tz wameweka 49 billion...kenya GDP is 75 billion and was 69 billion in 2016...it was 63 in 2015...ina maana GDP yenu ya 2017 iko ndogo kuliko GDP yetu ya 2013...yaani unachekesha kweli...usifananishe Kenya na TZ...kisha kumbuka nyie ni wengi kutuliko zaidi ya watu 5 million...hiyo listi sijui umeitengeneza wewe sababu sioni Kenya pale..
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
Mimi nakupa real evidence. Pia 2017 report inaonyesha TZ inaongoza kwa foreign direct investment almost 4 times kuzidi Kenya. Na niya Tisa(9) Africa.ur reference is Kenyan wallstreet? hehe...remember this is the era of fake news...anyone can write those things especially people who dont support Jubilee govt...umesahau huu ni msimu wa kupiga kura...leta data toka World Bank ama IMF ndio tuzungumze. kama wazee....this can be a NASA supporter who came up with such news...
juzi CNN na BBC walikana ripoti zilizokuwa zikizungumzia kenyan elections...fake news...
Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684
Achana na Wikipedia, hiyo ilivurugwa na Annael. Soma data mpya kabisa Kutoka WB, 2016Hiyo list inasema top ten soma heading. Kenya top ten hampo zaidi ya TZ.
Kama huwamini unachokisoma soma pia hii evidence nyingine.View attachment 555770
In which Kenya happens to be the thirs largest investor in Tanzania.....we dominate your economy!Mimi nakupa real evidence. Pia 2017 report inaonyesha TZ inaongoza kwa foreign direct investment almost 4 times kuzidi Kenya. Na niya Tisa(9) Africa.View attachment 555788View attachment 555789 View attachment 555791
tatizo lenu mmegeuza mada badala ya kujadili umasikini wa wasomi, mnajadili ya tz na kenyaIn which Kenya happens to be the thirs largest investor in Tanzania.....we dominate your economy!
Soma data za WB.IPI hiyo per capital income unaongelea. Hebu kula evidence nyingine. Acha kuongelea cooked figures.View attachment 555688View attachment 555689
Sio mimi, ni yeye ndiye amepindisha mada ati kuketa hizo mambo za GDP na investments!tatizo lenu mmegeuza mada badala ya kujadili umasikini wa wasomi, mnajadili ya tz na kenya
Mimi hapo naongelea private sector cause sijawahi Fanya mwenye government sector. Japo wengi wanasema government unakuwa more secure nakuna incentives nyingi sana. Kuna watu wako serikalini mishahara yao wala hawajui kama imeingia au haija ingia. Una ambiwa certificate holder wa tanesco anaingiza pesa nzuri sanaaa kuliko unavyoweza kufikili.
Your screenshots clearly indicate that you're using Chinese 2nd tier phones like innjoo and the likes.... Why do you spend 35k on drinks???? Na phone yako less than 10kMkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684
Acha sifa dogo unafikiri watu wanaishi kwa Ice bucket???? Sifa za kijinga mkitumbuliwa mnakuja kulialia hapa.Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684
Not this year my friend. The fact pia your not dominating our economy we are making both revenue and employment.In which Kenya happens to be the thirs largest investor in Tanzania.....we dominate your economy!