Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Don't talk about Kenyan GDP in public ni aibu. Kaa kimia kabisa. It is cooked at a highest level.View attachment 555692View attachment 555694
ur reference is Kenyan wallstreet? hehe...remember this is the era of fake news...anyone can write those things especially people who dont support Jubilee govt...umesahau huu ni msimu wa kupiga kura...leta data toka World Bank ama IMF ndio tuzungumze. kama wazee....this can be a NASA supporter who came up with such news...
juzi CNN na BBC walikana ripoti zilizokuwa zikizungumzia kenyan elections...fake news...
 
Utakuwa unaishi Tanzania ya Burundi. Mshahara uliokuwa quoted hapo unazidi what most graduates earn in Tanzania. Mathalani hiyo 35000Ksh ambayo umeiweka kuwa equivalent to 700,000 Tsh ni zaidi ya mshahara (gross pay) unaolipwa to graduates walioko public sector especially local government kwenye kada za ualimu, arts na hata business.

Ulichoquote kama mshahara wa 12 M kwa graduate inawezekana inalipwa kwa 1 tu among 1000 graduates.
Asante kwa kuongea ukweli mkuu. Huyo Mulisaa ana mambo yake
 
Wengi wenye elimu ya juu sana kiwango cha Ph.D wanatoka Ugenya, Alego, Siaya huko Western Kenya ambapo wasomi hawa hupenda sana pombe na wanawake.

Na wasomi hawa wa ngazi ya Ph.D starehe hizi huwafanya kuishia kuwa masikini na kuambukiza tabia hizi za ulevi, wanawake na uvivu wasomi wa degree moja au mbili.
 
ur reference is Kenyan wallstreet? hehe...remember this is the era of fake news...anyone can write those things especially people who dont support Jubilee govt...umesahau huu ni msimu wa kupiga kura...leta data toka World Bank ama IMF ndio tuzungumze. kama wazee....this can be a NASA supporter who came up with such news...
juzi CNN na BBC walikana ripoti zilizokuwa zikizungumzia kenyan elections...fake news...
I dont give fake news you can Google that on your own my friend.
 
what does cooking figures have to do with this article? hehe...sindano nikama imeingia..huna hoja..mimi nataka u prove hili...how can a person who makes 500 dollars a month be poor..remember 500 dollars per month is 6000 dollars every year..that is South Africa's per capita income...
How can someone making $500 be poor in Kenya? Soma article yote ukimalizniulize tena hilo swali
 
hapo tz wameweka 49 billion...kenya GDP is 75 billion and was 69 billion in 2016...it was 63 in 2015...ina maana GDP yenu ya 2017 iko ndogo kuliko GDP yetu ya 2013...yaani unachekesha kweli...usifananishe Kenya na TZ...kisha kumbuka nyie ni wengi kutuliko zaidi ya watu 5 million...hiyo listi sijui umeitengeneza wewe sababu sioni Kenya pale..
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
Hiyo list inasema top ten soma heading. Kenya top ten hampo zaidi ya TZ.
Kama huwamini unachokisoma soma pia hii evidence nyingine.
downloadfile-8.png
 
hapo tz wameweka 49 billion...kenya GDP is 75 billion and was 69 billion in 2016...it was 63 in 2015...ina maana GDP yenu ya 2017 iko ndogo kuliko GDP yetu ya 2013...yaani unachekesha kweli...usifananishe Kenya na TZ...kisha kumbuka nyie ni wengi kutuliko zaidi ya watu 5 million...hiyo listi sijui umeitengeneza wewe sababu sioni Kenya pale..
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
2017 report shows Tanzania is the 5th in the WORLD with the fastest growing economy. Yani speed yetu niya 4G. Wazungu mwenyewe wanashangaa tunavyo kuza uchumi wetu.
Screenshot_2017-07-26-14-11-25.png
 
ur reference is Kenyan wallstreet? hehe...remember this is the era of fake news...anyone can write those things especially people who dont support Jubilee govt...umesahau huu ni msimu wa kupiga kura...leta data toka World Bank ama IMF ndio tuzungumze. kama wazee....this can be a NASA supporter who came up with such news...
juzi CNN na BBC walikana ripoti zilizokuwa zikizungumzia kenyan elections...fake news...
Mimi nakupa real evidence. Pia 2017 report inaonyesha TZ inaongoza kwa foreign direct investment almost 4 times kuzidi Kenya. Na niya Tisa(9) Africa.
Screenshot_2017-07-31-10-19-20.png
Screenshot_2017-07-31-10-19-04.png
Screenshot_2017-07-31-10-18-20.png
 
Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684

Why on Earth do you drink a bucket of drinks? You must be sick in the head. One bottle could be enough to make you happier. You are either abusing alcohol or alcohol is abusing you so badly. Or you must be buying buckets of drinks to prove to your friends that you are financially well off, which is another kind of head disease called inferiority complex...
 
Attachments

tatizo lenu mmegeuza mada badala ya kujadili umasikini wa wasomi, mnajadili ya tz na kenya
Sio mimi, ni yeye ndiye amepindisha mada ati kuketa hizo mambo za GDP na investments!

Kwanza, kwani huko Tanzania what is the average salary ya mtanzania ndio mseme ati mwenye ana-earn 50000kshs ati ni poor?

That is what we earn immediately after Uni, then pole pole the salary increases with promotions etc.

Topic na arguments za kijinga sana. Thank God amekiri alivo mlevi, nimemuelewa.

Ati the av. salary of Tanzanians is Tsh.6m ($3000)? Wapi? Not even in SA.
 
Mimi hapo naongelea private sector cause sijawahi Fanya mwenye government sector. Japo wengi wanasema government unakuwa more secure nakuna incentives nyingi sana. Kuna watu wako serikalini mishahara yao wala hawajui kama imeingia au haija ingia. Una ambiwa certificate holder wa tanesco anaingiza pesa nzuri sanaaa kuliko unavyoweza kufikili.

Boss hujui unachoongelea. Hata mifano unayoongelea huna data zaidi ya hearsays, TANESCO hakuna lolote huyo uliyemtolea mfano mshahara wake hauzidi 400,000. Watu hawagusi mshahara sio kwa sababu wana marupurupu ila kwa kuwa wanakula rushwa sana.

Ukitaka kufanyiwa connection lazima utoe kitu kwanza.

Private sector unayoisifia ina employers wachache sana wanaolipa above rate ya serikali.
 
Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684
Your screenshots clearly indicate that you're using Chinese 2nd tier phones like innjoo and the likes.... Why do you spend 35k on drinks???? Na phone yako less than 10k

sent from iPhone 7
 
Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684
Acha sifa dogo unafikiri watu wanaishi kwa Ice bucket???? Sifa za kijinga mkitumbuliwa mnakuja kulialia hapa.
 
No wonder African will always remain less developed...a time when united states almost bigger than Africa is thinking of unifying their states .we are here debating about who get more salary.....we all east African let's learn to be one and work as one and come to a unified economy of east african

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In which Kenya happens to be the thirs largest investor in Tanzania.....we dominate your economy!
Not this year my friend. The fact pia your not dominating our economy we are making both revenue and employment.
 
Back
Top Bottom