Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,518
- 741
hizi sasa ni nyingine, unao marafiki wangapi wanalipwa zaidi ya 6 million??????After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
yeye amesema most degree holders, na yeye kuna huko kwao watakua wanalipwa zaidi ya hicho