Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
hizi sasa ni nyingine, unao marafiki wangapi wanalipwa zaidi ya 6 million??????
yeye amesema most degree holders, na yeye kuna huko kwao watakua wanalipwa zaidi ya hicho
 
hizi sasa ni nyingine, unao marafiki wangapi wanalipwa zaidi ya 6 million??????
yeye amesema most degree holders, na yeye kuna huko kwao watakua wanalipwa zaidi ya hicho
Soma article mkuu. Sio mimi ni muandishi. Huwezi jua huu ubishi mimi na yeye umetokea kwenye thread gani hadi mimi kufungua hii thread. So please toa maoni kama wewe.
 
Una utoto sana .....its like ww ndio umefunga kidato kuenda likizo ukaingia JF mea baba

Sent using Jamii Forums mobile app
My friend hujui mimi ni nani na ninafanya nini. The good thing nakujua sana tu. Nikiamua kukuingiza kwenye system utashangaa hadi jina lako nimelijuaje. Serikali yako ilinishindwa so you to me your nothing.
 
35,000 Kshs ni sawa na 800,000 Tshs, mnafaa muelewe hela ya Tanzania inaendelea kupoteza thamani.
 
haya, baada ya kubadilisha hizo pesa kuwa dollars naona bado huna pointi yoyote...wewe una bahati unkunywa za bei ghali...i think thats ur point...but what about other tanzanians? ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa...naona una assume that all tanzanians drink expensive liquor kama wewe...that is naive...the fact that you have eaten something tonight, doesnt mean that all Tanzanians have also eaten...kuna wengi wamelala njaa...same to Kenyans..Similarly, the fact that you think that 50,000 ksh is what poor people make does not mean that that is what other Tanzanians think...kuna wengi wanatamani wangekuwa wana tengeneza pesa hizo..tumeelewana mkuu?
This is why I love Kenyan's ,I do understand you for real this fellow countryman must be from Lumumba street

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most degree holders are poor all over the world. Degree makes people not think out of the box
 
Wa Africa wana tafsiri yao nyingine kabisa ya elimu.......

Tafsiri ambayo hata waliotuundia mifumo ya elimu kwa manufaa yao wanaishangaa.......

Sijui inakuwaje watu wanahusianisha kiwango cha elimu na utajiri wakati ni vitu viwili tofauti.....

Mtu aliyesomea kitu fulani atapata kazi kulingana na alichokisomea na atalipwa ujira wake kulingana kiwango cha elimu yake kwa ajili ya kuendeshea maisha yake.......

Sasa ujira anaolipwa muajiriwa unamfanya vipi kuwa tajiri.....hadi watu wamshangae kwa yeye kuwa masikini....!!?

Utajiri unatokana na vitu vingi sana.....lakini haifanyi kuwa mtu mwenye kiwango fulani cha elimu basi hana sababu ya kuwa masikini......kwani tumeona watu kibao wenye ukwasi wa kutisha hali ya kuwa hawana viwango vikubwa vya elimu......
 
Mimi nimetoa info za private sector. Maisha ni mwangu sitokuja ajiriwa na serikali, mimi na ajiri. Alafu uweunasoma article kwanza. Hakuna mfanyakazi TRA mwenye nyumba moja. Mimi naishi Mbweni na watu wa serikalini. They are very rich. Kiufupi billioners. Labda kama wewe unabeba ma file.
Hao unaoishi nao huko bweni majority ni Snr officials wa govt sidhani kama kuna Jnr officials wenye ubavu wa kujenga kule kwa bei zile za viwanja watakuwa wapiga dili wachache ama wamerithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
35,000 Kshs ni sawa na 800,000 Tshs, mnafaa muelewe hela ya Tanzania inaendelea kupoteza thamani.
Hii exchange rate ya lini? Labda ungesema roughly
 
Kwa hii report iliyotolewa na World Bank time will tell. You can fool people for sometime but not all the time
Screenshot_2017-07-25-02-06-26.png
mulisaaa ndio hii 2016 final IMF PPP report kama itakunyamazisha

ccf8e54af45d36d879bf54ff6b8cb5a8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
$500 = Tsh: 1 119 400.00 about Ksh:
51 925.00 ni masikini? Acheni kufuru
La hasha. Huyo mwandishi ndiye hakuchagua maneno yake ipasavyo, angesema wenye degree hawalipwi pesa kulingana na tajriba/elimu yao. Hapo ni sawa kabisa, na sote tunakubali. Lakini kuwaita poor.....hapo kidogo kapitiliza kabisa.

Mtu mwenye kipato kiwangi hicho kwenye nchi zinazoendelea kama Kenya, Tanzania hata kule SA wanaorodheshwa kama "middle- class".

Umaskini wa mtu kama utatokana na anavyotumia hela hizo, hasa kuamua ato kwenda kubughia "ice bucket", maisha kama haya hatayaweza. Itakuwa ni lazma ajipange vyema.
 
35,000 Kshs ni sawa na 800,000 Tshs, mnafaa muelewe hela ya Tanzania inaendelea kupoteza thamani.
Hata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.
FB_IMG_1496598470967.jpg
 
Hata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.View attachment 556477

Kwa jinsi huwa unajisifia humu utakua ni dogo fulani hapo Bongo umebahatika kupata internet connection. Kuwa na digri sio kigezo cha utajiri, kumbuka huko Tanzania kima cha mshahara wenu kipo chini sana ya Mkenya, juzi tuliona hata madaktari wenu wanahangaika mitaani maana serikali imeshindwa kuwaajiri.

Daktari wa kiwango cha mshahara wa chini Kenya analipwa bora zaidi ya aliyebobea huko Tanzania.
 
Back
Top Bottom