Hapa nilipo na smart phone 3 nayo tumia hii is more expensive than your iPhone 7. It can't be tracked try and see. Jaribu kutuma codes zakuchukua screen shot ya front camera uone. Lakini hapa nilipo najua sura yako wewe ni nani.Your screenshots clearly indicate that you're using Chinese 2nd tier phones like innjoo and the likes.... Why do you spend 35k on drinks???? Na phone yako less than 10k
sent from iPhone 7
After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
Tanzania niya pili(2) kwa kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi Africa.Sio mimi, ni yeye ndiye amepindisha mada ati kuketa hizo mambo za GDP na investments!
Kwanza, kwani huko Tanzania what is the average salary ya mtanzania ndio mseme ati mwenye ana-earn 50000kshs ati ni poor?
That is what we earn immediately after Uni, then pole pole the salary increases with promotions etc.
Topic na arguments za kijinga sana. Thank God amekiri alivo mlevi, nimemuelewa.
Ati the av. salary of Tanzanians is Tsh.6m ($3000)? Wapi? Not even in SA.
Data mpya wapi pata hii ya 2017 reportAchana na Wikipedia, hiyo ilivurugwa na Annael. Soma data mpya kabisa Kutoka WB, 2016
. Wikipedia can be doctored.
GDP ranking, PPP based | Data
The Pdf.doc attached below.
Data mpya wapi pata hii ya 2017 reportView attachment 556111 View attachment 556109
Tanzania niya pili(2) kwa kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi Africa.View attachment 556107
Data mpya wapi pata hii ya 2017 reportView attachment 556111 View attachment 556109
Tanesco Upande wa Technians, Artisans na Engineer wako na Pesa ndefu kwelo hao certificate hakuna alie chini ya 700KBoss hujui unachoongelea. Hata mifano unayoongelea huna data zaidi ya hearsays, TANESCO hakuna lolote huyo uliyemtolea mfano mshahara wake hauzidi 400,000. Watu hawagusi mshahara sio kwa sababu wana marupurupu ila kwa kuwa wanakula rushwa sana.
Ukitaka kufanyiwa connection lazima utoe kitu kwanza.
Private sector unayoisifia ina employers wachache sana wanaolipa above rate ya serikali.
Lol i thought this immediately i saw that article hehehewhat does cooking figures have to do with this article? hehe...sindano nikama imeingia..huna hoja..mimi nataka u prove hili...how can a person who makes 500 dollars a month be poor..remember 500 dollars per month is 6000 dollars every year..that is South Africa's per capita income...
Sasa umekabwa umeanza kukurupuka....kalale ama kaende kaziDon't talk about Kenyan GDP in public ni aibu. Kaa kimia kabisa. It is cooked at a highest level.View attachment 555692View attachment 555694
Tupe mmoja ambae ana phd na anaishi ulivyo semaWengi wenye elimu ya juu sana kiwango cha Ph.D wanatoka Ugenya, Alego, Siaya huko Western Kenya ambapo wasomi hawa hupenda sana pombe na wanawake.
Na wasomi hawa wa ngazi ya Ph.D starehe hizi huwafanya kuishia kuwa masikini na kuambukiza tabia hizi za ulevi, wanawake na uvivu wasomi wa degree moja au mbili.
Ppp is theoretical ulienda shule kweli??? Mnasinya na hii ujinga yenuHiyo list inasema top ten soma heading. Kenya top ten hampo zaidi ya TZ.
Kama huwamini unachokisoma soma pia hii evidence nyingine.View attachment 555770
Fooltatizo lenu mmegeuza mada badala ya kujadili umasikini wa wasomi, mnajadili ya tz na kenya
Una utoto sana .....its like ww ndio umefunga kidato kuenda likizo ukaingia JF mea babaHapa nilipo na smart phone 3 nayo tumia hii is more expensive than your iPhone 7. It can't be tracked try and see. Jaribu kutuma codes zakuchukua screen shot ya front camera uone. Lakini hapa nilipo najua sura yako wewe ni nani.
Fool.
Mimi sipo huko kwenye mabishano yenu ya TZ na KE mkuu…After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
Mimi nimetoa info za private sector. Maisha ni mwangu sitokuja ajiriwa na serikali, mimi na ajiri. Alafu uweunasoma article kwanza. Hakuna mfanyakazi TRA mwenye nyumba moja. Mimi naishi Mbweni na watu wa serikalini. They are very rich. Kiufupi billioners. Labda kama wewe unabeba ma file.Hebu acha kutupamba kwa uwongo, ndugu mkenya elewa Tanzania hadi sasa tuna miaka mitatu hatujaongezwa mishahara, wafanyakazi wengi wenye degree serikalini wanapata chini ya Milioni 1, yaani wengi take home ni 700,000 hadi 500,000 kwasasa tunafyeka pesa ya student loan board basi take home zetu zinacheza kwenye 600,000 hadi 150,000 kwa pesa za kitanzania.
Hao wenye mishahara ya zaidi ya milioni 2 serikalini hawazidi hata 2% ya wafanyakazi wote
Magufuli hana huruma kwa wafanyakazi hata kidogo
Nenda Mikocheni karibu na Hospitality ya Kairiku kuna company inaitwa Handeni Gold and Exploration iko chini ya Reginald Mengi na wa Canada. Mlinzi anapokea si chini ya 700,000/=Mpishi anaewapikia hao wa Canada anapokea 1 million. Uzuri wanaishi pembeni ya hiyo office. Secretary anaitwa Mary kaombe kazi hapo. Hakuna professional anaepokea chini ya 4 million kama upo vizuri. Mary atakusaidia cause yuko karibu sana na Reginald Mengi nando kamuweka hapo. Pia wanafanya na biashara yakununua madini yote. Utacheza na dollars sana hapo. Ukishindwa nitafute cause mimi nafanya biashara nao.Mimi sipo huko kwenye mabishano yenu ya TZ na KE mkuu…
Mimi naomba unisaidie connection na jina la hiyo company wanayolipa hivyo nikaombe hata kazi ya ulinzi labda ninaweza pata na mimi hiyo milioni 1 anayolipwa mupishi[emoji3] [emoji3] [emoji3]!
Pambana na hali yako.
Kamata fursa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli inaumaHapa nilipo na smart phone 3 nayo tumia hii is more expensive than your iPhone 7. It can't be tracked try and see. Jaribu kutuma codes zakuchukua screen shot ya front camera uone. Lakini hapa nilipo najua sura yako wewe ni nani.
Fool.