Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Your screenshots clearly indicate that you're using Chinese 2nd tier phones like innjoo and the likes.... Why do you spend 35k on drinks???? Na phone yako less than 10k

sent from iPhone 7
Hapa nilipo na smart phone 3 nayo tumia hii is more expensive than your iPhone 7. It can't be tracked try and see. Jaribu kutuma codes zakuchukua screen shot ya front camera uone. Lakini hapa nilipo najua sura yako wewe ni nani.
Fool.
 
After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.

Hebu acha kutupamba kwa uwongo, ndugu mkenya elewa Tanzania hadi sasa tuna miaka mitatu hatujaongezwa mishahara, wafanyakazi wengi wenye degree serikalini wanapata chini ya Milioni 1, yaani wengi take home ni 700,000 hadi 500,000 kwasasa tunafyeka pesa ya student loan board basi take home zetu zinacheza kwenye 600,000 hadi 150,000 kwa pesa za kitanzania.
Hao wenye mishahara ya zaidi ya milioni 2 serikalini hawazidi hata 2% ya wafanyakazi wote

Magufuli hana huruma kwa wafanyakazi hata kidogo
 
Sio mimi, ni yeye ndiye amepindisha mada ati kuketa hizo mambo za GDP na investments!

Kwanza, kwani huko Tanzania what is the average salary ya mtanzania ndio mseme ati mwenye ana-earn 50000kshs ati ni poor?
That is what we earn immediately after Uni, then pole pole the salary increases with promotions etc.

Topic na arguments za kijinga sana. Thank God amekiri alivo mlevi, nimemuelewa.

Ati the av. salary of Tanzanians is Tsh.6m ($3000)? Wapi? Not even in SA.
Tanzania niya pili(2) kwa kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi Africa.
images.png
 
Data mpya wapi pata hii ya 2017 reportView attachment 556111 View attachment 556109

Tanzania niya pili(2) kwa kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi Africa.View attachment 556107

Hebu fanya hii hesabu:

Kuna watoto wawili, A na B

Mtoto A ana peremende 47

Mtoto B ana peremende 70

Ukiamua kuwaongeza hawa watoto perenende.....tuseme umpe mtoto A peremende 7 (47+7) na mtoto B peremende 6 (70+6), wote sasa watakuwa na peremende ngapi kwa ujumla?

Sasa hebu endelea kuwaongezea watoto hawa peremende idadi hizo hizo mara tano ama hata mara kumi.

Mf:

A- 47+(7*5) na B- 70+(6*5).

*******

Je, kweli Tanzania itaweza kuipiku Kenya kiuchumi ikiwa inakuwa kwa asilimia 7% ilhali Kenya ikiendelea kukuwa kwa asilimia 6%?
 
Boss hujui unachoongelea. Hata mifano unayoongelea huna data zaidi ya hearsays, TANESCO hakuna lolote huyo uliyemtolea mfano mshahara wake hauzidi 400,000. Watu hawagusi mshahara sio kwa sababu wana marupurupu ila kwa kuwa wanakula rushwa sana.

Ukitaka kufanyiwa connection lazima utoe kitu kwanza.

Private sector unayoisifia ina employers wachache sana wanaolipa above rate ya serikali.
Tanesco Upande wa Technians, Artisans na Engineer wako na Pesa ndefu kwelo hao certificate hakuna alie chini ya 700K
 
what does cooking figures have to do with this article? hehe...sindano nikama imeingia..huna hoja..mimi nataka u prove hili...how can a person who makes 500 dollars a month be poor..remember 500 dollars per month is 6000 dollars every year..that is South Africa's per capita income...
Lol i thought this immediately i saw that article hehehe

6000$ pee Capita is poor now??? Lol mitanzania imekosa Hoja sasa ni povu tu kila mahali

6000$ !! Are you kidding me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hyo 35,000kshs

Kwa mwaka hio ni 420,000kshs au 4200$

4200$ is still way above most middle income countries including most of south america and asia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wenye elimu ya juu sana kiwango cha Ph.D wanatoka Ugenya, Alego, Siaya huko Western Kenya ambapo wasomi hawa hupenda sana pombe na wanawake.

Na wasomi hawa wa ngazi ya Ph.D starehe hizi huwafanya kuishia kuwa masikini na kuambukiza tabia hizi za ulevi, wanawake na uvivu wasomi wa degree moja au mbili.
Tupe mmoja ambae ana phd na anaishi ulivyo sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo lenu mmegeuza mada badala ya kujadili umasikini wa wasomi, mnajadili ya tz na kenya
Fool

Enda angalia nani amegeuza mada baada ya kuulizwa

Kama 50000kshs per month inakuwa

6000$ a year who is poorer?? Tanzania kwa mwaka per capita ni 997$ aibu hamna

Enda angalia nani amegeuz mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilipo na smart phone 3 nayo tumia hii is more expensive than your iPhone 7. It can't be tracked try and see. Jaribu kutuma codes zakuchukua screen shot ya front camera uone. Lakini hapa nilipo najua sura yako wewe ni nani.
Fool.
Una utoto sana .....its like ww ndio umefunga kidato kuenda likizo ukaingia JF mea baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
Mimi sipo huko kwenye mabishano yenu ya TZ na KE mkuu…
Mimi naomba unisaidie connection na jina la hiyo company wanayolipa hivyo nikaombe hata kazi ya ulinzi labda ninaweza pata na mimi hiyo milioni 1 anayolipwa mupishi[emoji3] [emoji3] [emoji3]!

Pambana na hali yako.
Kamata fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acha kutupamba kwa uwongo, ndugu mkenya elewa Tanzania hadi sasa tuna miaka mitatu hatujaongezwa mishahara, wafanyakazi wengi wenye degree serikalini wanapata chini ya Milioni 1, yaani wengi take home ni 700,000 hadi 500,000 kwasasa tunafyeka pesa ya student loan board basi take home zetu zinacheza kwenye 600,000 hadi 150,000 kwa pesa za kitanzania.
Hao wenye mishahara ya zaidi ya milioni 2 serikalini hawazidi hata 2% ya wafanyakazi wote

Magufuli hana huruma kwa wafanyakazi hata kidogo
Mimi nimetoa info za private sector. Maisha ni mwangu sitokuja ajiriwa na serikali, mimi na ajiri. Alafu uweunasoma article kwanza. Hakuna mfanyakazi TRA mwenye nyumba moja. Mimi naishi Mbweni na watu wa serikalini. They are very rich. Kiufupi billioners. Labda kama wewe unabeba ma file.
 
Mimi sipo huko kwenye mabishano yenu ya TZ na KE mkuu…
Mimi naomba unisaidie connection na jina la hiyo company wanayolipa hivyo nikaombe hata kazi ya ulinzi labda ninaweza pata na mimi hiyo milioni 1 anayolipwa mupishi[emoji3] [emoji3] [emoji3]!

Pambana na hali yako.
Kamata fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Mikocheni karibu na Hospitality ya Kairiku kuna company inaitwa Handeni Gold and Exploration iko chini ya Reginald Mengi na wa Canada. Mlinzi anapokea si chini ya 700,000/=Mpishi anaewapikia hao wa Canada anapokea 1 million. Uzuri wanaishi pembeni ya hiyo office. Secretary anaitwa Mary kaombe kazi hapo. Hakuna professional anaepokea chini ya 4 million kama upo vizuri. Mary atakusaidia cause yuko karibu sana na Reginald Mengi nando kamuweka hapo. Pia wanafanya na biashara yakununua madini yote. Utacheza na dollars sana hapo. Ukishindwa nitafute cause mimi nafanya biashara nao.
Screenshot_2017-08-02-11-20-54.png
 
Back
Top Bottom