Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Soma article yote ndipo utamuelewa muandishi. Hiyo pesa anayolipwa degree holder wa Kenya inaisha yote kwenye matumizi ya kawaida kama transport nakujikimu na hapo bado ana familia na mwisho wa siku anajikuta anaishi Kibera na degree yake kama huyu jamaa..
 
Mimi hata nisingekuwa na degree bado ningetusua tu. If you get to know my real life its trouble. Thus why nawambia Kenya napajua sana. But toka mlipo nifanyia utapeli niliwashusha sanaaaa especially the Gathecha's and Kinyanjui's najua utakuwa umenielewa.
 
Nimeisoma na kuilewa. Kila mtu humu ameisoma na kutokubaliana na maoni ya huyo mwandishi.

Tunaelewa unachosema, unazungumzia hizo mambo za taxes na loans nk na akabaki na 35000kshs. At least they can afford the most basic of needs such as food, shelter and clothing, and a bit of luxury.
Hatukatai, fedha hizo hazitoshi, lakini angalau zinamuepusha na maisha ya umaskini. More is not always better, such expenditures will always be there, hata kama unaearn 100000kshs.
Money will never be enuff.

Cha muhimu ni jinsi atakavyojipanga na fedha hizo.
 
Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiongee vitu usivyojua. Kwa taarifa yako last week wizara ya afya imetanganza ajira 3,152 na bado kuna ajira nyingine zaidi ya hizo zitatoka kwenye wizara ya afya baada ya hizo kukamilika. Pia wale madkatari wote waliokuwa waje kusaidia Kenya raisi wangu kipenzi Magufuli kawa ajiri wote mdamrefu sasa.
 
Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kampuni manager wao ni nani.?? Naipo katika jengo gani kwa sasa?? Na mwanzo kabla yakuama office zao zilikuwa wapi??
 
The more u talk about your lifestyle, the more I am doubting u. Debe tupu....kamilisha methali.

Sassma kila mtanzania mwenye digri anajihusisha na mauzo ya gold? Wewe u are completely out of touch with the reality, and I am yet to see a one Tanzanian here seconding your arguments.
 
Tribe Number of Professors

Kikuyu 130

Luo 167

Kalenjin 102
Unatambua ulichosema??

Eti watu wa phd wanaishi kwa uchochole kule western!!


Fyi

Western na Nyanza kuna

MMUST

Maseno University

Kabianga university

Rongo University


Nairobi University Kisumu Campus


Kisii University


Webuye University


Kaimosi TTC

Na about 1900 colleges and Polytechnics


5000 secondary schools of which

27 ni national schools infact i happened to go to KAKAMEGA High School


Nyamaza uweke ujinga mfukoni ukae kwa kona







Nyamasa ukae kwa korna


Mko na view flani ya kenya kuwa watu wamakabila zote hawapendani hata kusalimiana barabarani hawaezi smh





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaongelea life style yangu hapo. Nimegusia kidogo nachofanya. I have friends who have degrees and there life uko super mbaya. In fact they are biollioners. Nikiamua ujue life style yangu nakupa full name yangu. Uki Google nimemaliza kijana.
 
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mulisaaa kalisha tecno yako kwa kona ipate kupumua [emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nilipo I have three phones kwahiyo nabadilisha navyotaka lakini sinakitu inaitwa techno. My cheapest phone is made from Finland. Huyo nimemwambia anipe jina la manager wa hiyo kampuni, aniambie kwa sasa wapo kwenye jengo gani na kabla hawaja hama walikuwa wapi na jengo gani??. Zahidi yahapo aijui hiyo Kampuni. Lakini nashangaa hadi sasa ajanijibu japo bado namaswali mengi yakumtega hayo nimepesi nilio muuliza. Nashangaa haja nijibu. Inaonekana labda alikuwa nikibarua wakubeba vyuma kipindi wanafanya drilling ya sampling.
 
Sijaongelea life style yangu hapo. Nimegusia kidogo nachofanya. I have friends who have degrees and there life uko super mbaya. In fact they are biollioners. Nikiamua ujue life style yangu nakupa full name yangu. Uki Google nimemaliza kijana.
Kwa hivyo hapa Kenya hakuna wenye wanaearn six/seven figure salaries na mabilionaires?

Wewe, wacha upuzi. I also have friends and relatives with great jobs and are very very well- off. But I cannot use them as yardsticks to guage the living standards of the majority of Kenyans, or the degree holders for that natter. That would be very idiotic.
 
nimeipenda hii kweli imewagusa wapumbavu wakikenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Asante kwa kuwa mkweli.
 


So how many Tanzanians in 1,000,000 order this every weekend? Oh......let's not even go there, how many Tanzanians out of the 50 million have ordered this in their lifetime?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…