Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

La hasha. Huyo mwandishi ndiye hakuchagua maneno yake ipasavyo, angesema wenye degree hawalipwi pesa kulingana na tajriba/elimu yao. Hapo ni sawa kabisa, na sote tunakubali. Lakini kuwaita poor.....hapo kidogo kapitiliza kabisa.

Mtu mwenye kipato kiwangi hicho kwenye nchi zinazoendelea kama Kenya, Tanzania hata kule SA wanaorodheshwa kama "middle- class".

Umaskini wa mtu kama utatokana na anavyotumia hela hizo, hasa kuamua ato kwenda kubughia "ice bucket", maisha kama haya hatayaweza. Itakuwa ni lazma ajipange vyema.
Soma article yote ndipo utamuelewa muandishi. Hiyo pesa anayolipwa degree holder wa Kenya inaisha yote kwenye matumizi ya kawaida kama transport nakujikimu na hapo bado ana familia na mwisho wa siku anajikuta anaishi Kibera na degree yake kama huyu jamaa..
downloadfile-65.jpeg
 
Kwa jinsi huwa unajisifia humu utakua ni dogo fulani hapo Bongo umebahatika kupata internet connection. Kuwa na digri sio kigezo cha utajiri, kumbuka huko Tanzania kima cha mshahara wenu kipo chini sana ya Mkenya, juzi tuliona hata madaktari wenu wanahangaika mitaani maana serikali imeshindwa kuwaajiri.

Daktari wa kiwango cha mshahara wa chini Kenya analipwa bora zaidi ya aliyebobea huko Tanzania.
Mimi hata nisingekuwa na degree bado ningetusua tu. If you get to know my real life its trouble. Thus why nawambia Kenya napajua sana. But toka mlipo nifanyia utapeli niliwashusha sanaaaa especially the Gathecha's and Kinyanjui's najua utakuwa umenielewa.
 
Soma article yote ndipo utamuelewa muandishi. Hiyo pesa anayolipwa degree holder wa Kenya inaisha yote kwenye matumizi ya kawaida kama transport nakujikimu na hapo bado ana familia na mwisho wa siku anajikuta anaishi Kibera na degree yake kama huyu jamaa..View attachment 556488
Nimeisoma na kuilewa. Kila mtu humu ameisoma na kutokubaliana na maoni ya huyo mwandishi.

Tunaelewa unachosema, unazungumzia hizo mambo za taxes na loans nk na akabaki na 35000kshs. At least they can afford the most basic of needs such as food, shelter and clothing, and a bit of luxury.
Hatukatai, fedha hizo hazitoshi, lakini angalau zinamuepusha na maisha ya umaskini. More is not always better, such expenditures will always be there, hata kama unaearn 100000kshs.
Money will never be enuff.

Cha muhimu ni jinsi atakavyojipanga na fedha hizo.
 
Nenda Mikocheni karibu na Hospitality ya Kairiku kuna company inaitwa Handeni Gold and Exploration iko chini ya Reginald Mengi na wa Canada. Mlinzi anapokea si chini ya 700,000/=Mpishi anaewapikia hao wa Canada anapokea 1 million. Uzuri wanaishi pembeni ya hiyo office. Secretary anaitwa Mary kaombe kazi hapo. Hakuna professional anaepokea chini ya 4 million kama upo vizuri. Mary atakusaidia cause yuko karibu sana na Reginald Mengi nando kamuweka hapo. Pia wanafanya na biashara yakununua madini yote. Utacheza na dollars sana hapo. Ukishindwa nitafute cause mimi nafanya biashara nao.View attachment 556176
Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi huwa unajisifia humu utakua ni dogo fulani hapo Bongo umebahatika kupata internet connection. Kuwa na digri sio kigezo cha utajiri, kumbuka huko Tanzania kima cha mshahara wenu kipo chini sana ya Mkenya, juzi tuliona hata madaktari wenu wanahangaika mitaani maana serikali imeshindwa kuwaajiri.

Daktari wa kiwango cha mshahara wa chini Kenya analipwa bora zaidi ya aliyebobea huko Tanzania.
Usiongee vitu usivyojua. Kwa taarifa yako last week wizara ya afya imetanganza ajira 3,152 na bado kuna ajira nyingine zaidi ya hizo zitatoka kwenye wizara ya afya baada ya hizo kukamilika. Pia wale madkatari wote waliokuwa waje kusaidia Kenya raisi wangu kipenzi Magufuli kawa ajiri wote mdamrefu sasa.
Screenshot_2017-08-02-19-36-47.png
 
Acha uongo.. Nimefanya na hiyo kampuni, mlinzi halipwi laki 7..... Kada za chini wanapokea laki 4... Jifunzeni kusema ukweli vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kampuni manager wao ni nani.?? Naipo katika jengo gani kwa sasa?? Na mwanzo kabla yakuama office zao zilikuwa wapi??
 
Hata kama ni 800,000/= That's a toilet paper money for a degree holder in TZ. I have a degree and this is my life in TZ.!!Do you know the level of Gold Karatage it has? Ukute hata gold karatage ujui ni nini. Hiyo pesa haitoshi hata school fees ya mtoto wangu.View attachment 556477
The more u talk about your lifestyle, the more I am doubting u. Debe tupu....kamilisha methali.

Sassma kila mtanzania mwenye digri anajihusisha na mauzo ya gold? Wewe u are completely out of touch with the reality, and I am yet to see a one Tanzanian here seconding your arguments.
 
Tribe Number of Professors

Kikuyu 130

Luo 167

Kalenjin 102
Unatambua ulichosema??

Eti watu wa phd wanaishi kwa uchochole kule western!!


Fyi

Western na Nyanza kuna

MMUST

Maseno University

Kabianga university

Rongo University


Nairobi University Kisumu Campus


Kisii University


Webuye University


Kaimosi TTC

Na about 1900 colleges and Polytechnics


5000 secondary schools of which

27 ni national schools infact i happened to go to KAKAMEGA High School


Nyamaza uweke ujinga mfukoni ukae kwa kona
755b0a4f643358f79d37a306a734909d.jpg


fdaf59a8a4cae0169e8f8f7ba47d0843.jpg


426bedea5bc6b101b2cf2b38f85c8668.jpg



Nyamasa ukae kwa korna


Mko na view flani ya kenya kuwa watu wamakabila zote hawapendani hata kusalimiana barabarani hawaezi smh





Sent using Jamii Forums mobile app
 
The more u talk about your lifestyle, the more I am doubting u. Debe tupu....kamilisha methali.

Sassma kila mtanzania mwenye digri anajihusisha na mauzo ya gold? Wewe u are completely out of touch with the reality, and I am yet to see a one Tanzanian here seconding your arguments.
Sijaongelea life style yangu hapo. Nimegusia kidogo nachofanya. I have friends who have degrees and there life uko super mbaya. In fact they are biollioners. Nikiamua ujue life style yangu nakupa full name yangu. Uki Google nimemaliza kijana.
 
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mulisaaa kalisha tecno yako kwa kona ipate kupumua [emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nilipo I have three phones kwahiyo nabadilisha navyotaka lakini sinakitu inaitwa techno. My cheapest phone is made from Finland. Huyo nimemwambia anipe jina la manager wa hiyo kampuni, aniambie kwa sasa wapo kwenye jengo gani na kabla hawaja hama walikuwa wapi na jengo gani??. Zahidi yahapo aijui hiyo Kampuni. Lakini nashangaa hadi sasa ajanijibu japo bado namaswali mengi yakumtega hayo nimepesi nilio muuliza. Nashangaa haja nijibu. Inaonekana labda alikuwa nikibarua wakubeba vyuma kipindi wanafanya drilling ya sampling.
 
Sijaongelea life style yangu hapo. Nimegusia kidogo nachofanya. I have friends who have degrees and there life uko super mbaya. In fact they are biollioners. Nikiamua ujue life style yangu nakupa full name yangu. Uki Google nimemaliza kijana.
Kwa hivyo hapa Kenya hakuna wenye wanaearn six/seven figure salaries na mabilionaires?

Wewe, wacha upuzi. I also have friends and relatives with great jobs and are very very well- off. But I cannot use them as yardsticks to guage the living standards of the majority of Kenyans, or the degree holders for that natter. That would be very idiotic.
 
nimeipenda hii kweli imewagusa wapumbavu wakikenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utakuwa unaishi Tanzania ya Burundi. Mshahara uliokuwa quoted hapo unazidi what most graduates earn in Tanzania. Mathalani hiyo 35000Ksh ambayo umeiweka kuwa equivalent to 700,000 Tsh ni zaidi ya mshahara (gross pay) unaolipwa to graduates walioko public sector especially local government kwenye kada za ualimu, arts na hata business.

Ulichoquote kama mshahara wa 12 M kwa graduate inawezekana inalipwa kwa 1 tu among 1000 graduates.


Asante kwa kuwa mkweli.
 
Mkuu nimechukua 35,000 Kenyan na kuigeuza kwenye TZ ambayo ni 700,000. Nikasema ice bucket moja ya drinks huku TZ haiwezi ni cost chini ya 250,000. Nikiagiza tatu pesa imekwisha. Ice bucket nayo ongelea hiyo apo chini. Mimi sinywagi Changaa.View attachment 555684


So how many Tanzanians in 1,000,000 order this every weekend? Oh......let's not even go there, how many Tanzanians out of the 50 million have ordered this in their lifetime?
 
Back
Top Bottom