Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

in the main post, the writer was not compairing between Ke and Tz tho!
he was writing his own opinions and as we all know... opinions are like ______, everybody has one. you cannot compare a maid's salary working in Dubai and Ke. a watchman in Australia might be earning the same way as banker in Kenya.... a doctor in Kenya earns 4times his compatriot in Tz
now can we get the other version of Why Most Degree Holders In Tz Are Stinking Rich. then let's do a comparison
 
Kama wewe ni mmoja wa wale unaesubilia vya bure za enzi ya Kikwete huto weza kuona. Join the team yakufanya kazi. Vya bure alikufa.
Una uhakika gani sifanyi kazi??

Huo uchumi unaokua unakua wapi?
 

Duh, ila reginald Mengi ana pesa aisee... mulisaaa
 
Acha uongo kabisa...........hakuna MTU anapata hiyo pesa ,,,umegusia mashirika ya madini na mengineyo makubwa hapo sawa.

Lakini anayeanza kazi Leo serikalini let say , mfano mwl na digiri yake sidhani kama anaweza pata hata tsh 600,000/tsh ( gross salary).
 
Habari ya kutumia pesa kwa ajili ya ulevi....hata ungekuwa unalipwa Dollar Billion 10......kwa kiywaji haiwezi tosha...KBS.

Tena mshahara mdogo huwa unafanya mambo makubwa........wakati mwingine kushinda hata yule mwenye mshahara mkubwa.
 
private sector inawezekana kulipwa hivyo au hata zaidi na hata serikalini kabla hajaingia JPM walikua wanalipwa mishahara mikubwa sana ila kwa sasa wanaoja joto la jiwe wengi mishahara imepunguzwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…