Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

Why Are Most Degree Holders In Kenya Poor??

in the main post, the writer was not compairing between Ke and Tz tho!
he was writing his own opinions and as we all know... opinions are like ______, everybody has one. you cannot compare a maid's salary working in Dubai and Ke. a watchman in Australia might be earning the same way as banker in Kenya.... a doctor in Kenya earns 4times his compatriot in Tz
now can we get the other version of Why Most Degree Holders In Tz Are Stinking Rich. then let's do a comparison
 
Kama wewe ni mmoja wa wale unaesubilia vya bure za enzi ya Kikwete huto weza kuona. Join the team yakufanya kazi. Vya bure alikufa.
Una uhakika gani sifanyi kazi??

Huo uchumi unaokua unakua wapi?
 
Nenda Mikocheni karibu na Hospitality ya Kairiku kuna company inaitwa Handeni Gold and Exploration iko chini ya Reginald Mengi na wa Canada. Mlinzi anapokea si chini ya 700,000/=Mpishi anaewapikia hao wa Canada anapokea 1 million. Uzuri wanaishi pembeni ya hiyo office. Secretary anaitwa Mary kaombe kazi hapo. Hakuna professional anaepokea chini ya 4 million kama upo vizuri. Mary atakusaidia cause yuko karibu sana na Reginald Mengi nando kamuweka hapo. Pia wanafanya na biashara yakununua madini yote. Utacheza na dollars sana hapo. Ukishindwa nitafute cause mimi nafanya biashara nao.View attachment 556176

Duh, ila reginald Mengi ana pesa aisee... mulisaaa
 
After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
Acha uongo kabisa...........hakuna MTU anapata hiyo pesa ,,,umegusia mashirika ya madini na mengineyo makubwa hapo sawa.

Lakini anayeanza kazi Leo serikalini let say , mfano mwl na digiri yake sidhani kama anaweza pata hata tsh 600,000/tsh ( gross salary).
 
Ata million 10 ukiipeleka kwenye starehe hazitoshi...sioni tatizo lolote mtu kupata laki 7 za TZ au 35000 ksh kwa upande wa pili,laki saba ni pesa nyingi kama utaipeleka kwenye matumizi ya msingi, izo pombe haziko katika mahitaji ya msingi ya binadamu,laki 7 unaweza pata chumba na sebule kwa sh 150000 tsh,ukanunua cooking gas 18000tsh ukanunua vyakula na nauli na bia ukanywa nyingi tu...sioni tatizo lolote japo sio pesa ya kujikweza nayo....kama wewe ni graduate nategemea iyo laki saba izae pesa zingine haiwezekan uridhike nayo the whole year ndio monthly income yako....unaweza usielewe lakini graduate wengi hupata laki 6 tsh na inakatwa mpaka wanatoka na 480k tsh na bado wanafanya mambo ya msingi kipitia vipato vingine vidogo vidogo, graduate wanaopata zaidi ya laki 6 tsh mara nyingi ni waliosoma science Au kozi za biashara na apate kazi kwenye kampuni au mashirika...izo pesa ni ndogo kuzitamka lakini kuzifanyia kazi uzipate sio jambo dogo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Habari ya kutumia pesa kwa ajili ya ulevi....hata ungekuwa unalipwa Dollar Billion 10......kwa kiywaji haiwezi tosha...KBS.

Tena mshahara mdogo huwa unafanya mambo makubwa........wakati mwingine kushinda hata yule mwenye mshahara mkubwa.
 
After deduction zamifuko ya jamii na tax you remain with 35,000 almost to 700,000/= Ambayo mimi hiyo nikenda nayo High spirit au Runway just for a weekend narudi bila change. Cause one bucket of drinks will cost me 250,000/=. Nikinunua mbili?? Hiyo sio pesa. A degree holder huku wanalipwa hadi 6 million. Kuna rafiki yangu ni geologist wa kampuni moja hapa TZ pia degree holder analipwa 12 million mpishi wao analipwa 1 million. Poor Kenya alafu unajilinganisha na TZ kwenye mishahara. Huku kunawatu wanalipwa pesa kicha mishahara in terms of dollars.
private sector inawezekana kulipwa hivyo au hata zaidi na hata serikalini kabla hajaingia JPM walikua wanalipwa mishahara mikubwa sana ila kwa sasa wanaoja joto la jiwe wengi mishahara imepunguzwa...
 
Back
Top Bottom