Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Hivi umeshawahi kumsikia EL akikemea ufisadi?
_ukishakuwa kwenye hicho chama ufisadi upo kwenye ilani yao
 
kweli kabisaa membe hatufai kuwa raisi. Kuna wakati alihudhulia sherehe ya uhuru wa misri kutimiza miaka 61 palupanga dar es salaam, ambapo alikaa kimyaaa huku balozi wa misri akiitukana matusi machafu sana uingereza karibia toka mwanzo mpaka mwisho wa sherehe. Wakati hu huo ubalozi wa misri nchini nchini uingereza haukuthubutu hata kunyanyua ulimi kuikandia uingereza. Halafu akiwa waziri wa mbo ya nje, katembeleanchi zote zakiarabu mpaka utruki lakii hakuthuutu kutembelea israel. Swala tazania kjiunga oic yeye hakukerwa mpaka kiongoziwa kanisa la mahehebu ya thabato tanzania alpolalamika magazetini.

Sina imani nae kabisaaa!

mimi nikiwekewa membe na mbwa nachagua mbwa.membe hafai kwa kulia wala kwa kurumangia.
 
Shime shime watanzania tusije fanya kosa kumchagua membe ataiuza nchi. Kama aliweza kuslim atashindwaje kutuuza sisi kwa waarabu wake?
 
membe ni shetani tena hayawani mimi nawalaani sana watanzania hasa washabiki wa ccm ni kama wana laana nzito karibia wote,wanachama wa ccm hata awekwe nyoka wao huchagua tu,ukiuliza eti chama kimetulea,shortly kama membe atapitishwa kugombea na nec lazima atashinda,maana tanzania ina laana,asiyeamini leo atakuja kuamini kesho,hapo ndo atafanya mambo ya ajabu na tutajikuta tunakuwa taifa linalofuga magaidi,makombora ya marekani na israel hatutayakwepa membe akiwa rais,watanzania ikataeni ccm ni hatari mno kwa maisha yetu.
 
Wapambe Wa Membe Wanamsifia Sijui Kwalipi Jema Kaifanyia Nchi? Kashfa Ya Escrow Membe Hatukumuona Akilaani Na Kuwataka Wang'oke Walohuska,lakini Kimya Bungeni Sikumsikia! Haya Katiba Mpya Ya Kifisadi Sijamsikia Akiipinga Bungeni Au Hata Kuikosoa!Kashifa Ni Nying Lakini Membe Humsikii! Ukimsikia Membe Anazungumza Ujue Anailaani ISRAEL KWA KUUA NDG ZAKE WAPALESTINA, MAUAJI YA ISI, BOKO HARAM, ALSHABAB MEMBE HUMSIKII.UTAMSIKIA AKIILAANI ISRAEL! UFISADI ULOFANYIKA NCHINI HUMSIKII BUNGENI AKIPINGA WAZI WAZI.MEMBE NI MIONGONI MWA MAFISADI WATANZANIA TUSIFANYE MAKOSA HATA KIDOGO.RAIS WETU HAPA NI MHE. Sana Dr Mtukuka Wilbroad Peter Slaa Tumaini La Wanyonge Au Mhe. Edward Ngoyai Lowasa Kiboko Cha Wakurugenzi Wabadhirifu.Hanaga Mambo Ya Tume.Yeye Maamuzi Ni Ya Papo Kwa Hapo Siyo Kama Pinda Mtu Kaiibia Serikali Bado Mnazi Kupoteza Pesa Za Kuwalipa Wajumbe Wa Tume Kisha Mhusika Anaishia Kutenguliwa Cheo Badala Ya Kufilisiwa Mali Zake Ili Kufidia Hasara.CHONDE CHONDE TUSIFANYE MAKOSA MUNGU HATATUSAMEHE
Unamaanisha membe ni ushuzi unaochukua sekunde 30 kuwepo
 
.... VERY SAD!
Kwani vigezo vya kuwania URAIS ni vipi? Au jibu hili, SERA zake ni zipi?
Acha majungu mkuu. Aina hii ya uswahili ni ile tabia za uvivu wa kufikiri. Kushabikia mambo ya kipuuzi kwa kutumia domo kubwa! Porojo za barazani.
kwa taarifa yako na wenzio, NCHI inahitaji kiongozi mtawala na anayemudu utamaduni wa SIASA zenu za KISANII. Yule ambaye ataweza ondoa usanii uliorasimishwa na wajanja flani. Anayejua yote hayo na anayeweza kuwashughulikia hao ambae anayo nia ya dhati kufanya hayo bila kigugumizi ni mmoja tu. MEMBE. Acha kama hutaki
 
Nakumbuka kauli mbili tata za membe. 1. ..hatuko tayari kupokea fedha za kishetani ili tuunge mkono ushoga wa wazungu...bora tufe maskini...2. Tunajiunga na OIC kutafuta fedha za maendeleo...na tupo tayari kupokea fedha hata ikibidi kutoka kwa shetani. ( paraphrased)....hizi ndo sura mbili mbili za member aka joka la mdimu
 
.... Very sad!
Kwani vigezo vya kuwania urais ni vipi? Au jibu hili, sera zake ni zipi?
Acha majungu mkuu. Aina hii ya uswahili ni ile tabia za uvivu wa kufikiri. Kushabikia mambo ya kipuuzi kwa kutumia domo kubwa! Porojo za barazani.
Kwa taarifa yako na wenzio, nchi inahitaji kiongozi mtawala na anayemudu utamaduni wa siasa zenu za kisanii. Yule ambaye ataweza ondoa usanii uliorasimishwa na wajanja flani. Anayejua yote hayo na anayeweza kuwashughulikia hao ambae anayo nia ya dhati kufanya hayo bila kigugumizi ni mmoja tu. Membe. Acha kama hutaki

doubleoseven jibu limeshatolewa na head teacher isome.
 
Maadamu ushasema Membe ni hewa tu sasa nani akapigie kura OXYGEN na HYDROGEN? mimi na kura ya mke wangu hapati hata akija na Magobore ya ALSHAABABU.
 
Kweli kabisaa Membe hatufai kuwa raisi. Kuna wakati alihudhulia sherehe ya uhuru wa misri kutimiza miaka 61 palUpanga Dar Es Salaam, ambapo alikaa kimyaaa huku balozi wa misri akiitukana matusi machafu sana Uingereza karibia toka mwanzo mpaka mwisho wa sherehe. Wakati hu huo ubalozi wa misri nchini nchini uingereza haukuthubutu hata kunyanyua ulimi kuikandia uingereza. Halafu akiwa waziri wa mbo ya nje, katembeleanchi zote zakiarabu mpaka utruki lakii hakuthuutu kutembelea Israel. Swala tazania kjiunga OIC yeye hakukerwa Mpaka KIongoziwa kanisa la mahehebu ya thabato Tanzania alpolalamika magazetini.

Sina Imani nae kabisaaa!
Kivuli cha Balozi wa Libya ambaye alipotezwa na membe kisha kuzuga kuwa alijiua Mwenyewe. Huo mzimu wa balozi wa Libya umemtafuna sana ndiyo maana hata JK hajamuunga Mkono juu ya kutaka Urais , Mengi ni Fisadi mkubwa Mapesa ya Gadafi cash dollars masanduku kadhaa ameyaweka kwenye handaki nyumbani kwake anasubiri mda aanze kununua njia ya kuelekea ikulu kwa dola hizo za Gadafi.
 
Maadamu ushasema Membe ni hewa tu sasa nani akapigie kura OXYGEN na HYDROGEN? mimi na kura ya mke wangu hapati hata akija na Magobore ya ALSHAABABU.

Mapesa ya Gadafi yanamuwasha sana anadhani yatamsaidia kununua njia ya kuelekea ikulu.
 
Kweli kabisaa Membe hatufai kuwa raisi. Kuna wakati alihudhulia sherehe ya uhuru wa misri kutimiza miaka 61 palUpanga Dar Es Salaam, ambapo alikaa kimyaaa huku balozi wa misri akiitukana matusi machafu sana Uingereza karibia toka mwanzo mpaka mwisho wa sherehe. Wakati hu huo ubalozi wa misri nchini nchini uingereza haukuthubutu hata kunyanyua ulimi kuikandia uingereza. Halafu akiwa waziri wa mbo ya nje, katembeleanchi zote zakiarabu mpaka utruki lakii hakuthuutu kutembelea Israel. Swala tazania kjiunga OIC yeye hakukerwa Mpaka KIongoziwa kanisa la mahehebu ya thabato Tanzania alpolalamika magazetini.

Sina Imani nae kabisaaa!
Kivuli cha Balozi wa Libya ambaye alipotezwa na membe kisha kuzuga kuwa alijiua Mwenyewe. Huo mzimu wa balozi wa Libya umemtafuna sana ndiyo maana hata JK hajamuunga Mkono juu ya kutaka Urais , Membe ni Fisadi mkubwa Mapesa ya Gadafi cash dollars masanduku kadhaa ameyaweka kwenye handaki nyumbani kwake anasubiri mda aanze kununua njia ya kuelekea ikulu kwa dola hizo za Gadafi.
 
membe ni shetani tena hayawani mimi nawalaani sana watanzania hasa washabiki wa ccm ni kama wana laana nzito karibia wote,wanachama wa ccm hata awekwe nyoka wao huchagua tu,ukiuliza eti chama kimetulea,shortly kama membe atapitishwa kugombea na nec lazima atashinda,maana tanzania ina laana,asiyeamini leo atakuja kuamini kesho,hapo ndo atafanya mambo ya ajabu na tutajikuta tunakuwa taifa linalofuga magaidi,makombora ya marekani na israel hatutayakwepa
membe akiwa rais,watanzania ikataeni ccm ni hatari mno kwa maisha yetu.

Acha kutufundisha uwoga, unatumika vibaya kama TP.
 
Joka la mdimu hafai hata kuwa mtendaji wa kata
 
Back
Top Bottom