Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Tehetehetehetehetehe! Naona leo umeungana na adui wakoSiyo kila mtu anatumwa, wewe na Chabruma nani alikuwa anawatuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehetehetehetehetehe! Naona leo umeungana na adui wakoSiyo kila mtu anatumwa, wewe na Chabruma nani alikuwa anawatuma?
So what?
Hiyo historia yote ya Membe umesimuliwa, umeisoma mahali au umetunga mwenyewe?
Bado sijajua lengo lako hasa. Kama ni suala la Membe kuwa rais wa Tanzania, hilo liko wazi kabisa. Kifupi Membe hafai kuwa rais wa Tanzania na kamwe hataweza kuwa rais.
Tehetehetehetehetehe! Naona leo umeungana na adui wako
we umetumwa na nani kuulizaYeriko Nyerere nani anayekutuma kuandika hayo?
Familia ya jk inamtegemea sana
Kwa vile Yeriko ameshindwa kujibu swali langu, sina sababu ya kujibizana na wenginewe umetumwa na nani kuuliza
hapa tunamchambua Membe kama Membe,hatumchambui Membe kumjenga Lowasa,umesikia we kibaraka?Huyu bwana ana vijidudu kichwani ila naona leo vijidudu vimetoweka.... Kwa kweli andiko lake la leo limeshiba....
Mkuu, unaweza kunieleza ni kwa namna gani Membe alimfitini Mudhihiri? Ninachojua ni kwamba Mudhihiri alishindwa kwenye siasa za ushindani na kijana Mtanda akatwaa jimbo na Mchinga
hapa tunamchambua Membe kama Membe,hatumchambui Membe kumjenga Lowasa,umesikia we kibaraka?
Huyo jamaa ni mtu mnafiki kabisa yeye ndiye aliyeta kuliingiza Taifa kwenye migogoro ya Kidini kwa kushauri na kulazimisha hoja yake ya Taifa kujiingiza kwenye umoja wa nchi za kiislamu OIC wachungaji walimjia juu lakini yeye bado akakomalia msimamo wake mpaka Rais J Kikwete alipoingilia kati na kumaliza mzozo huo wachungaji na wakristo wengi hawataki hata kumsikia kutokana na kujifanya mjuaji wa kila jambo bila kutaka kusikia ushauri wa wengine leo anautaka urais,wakuu huyu jamaa hafahi hata kidogo ana majivuno,mjeuri,si msikivu wala ashauriki,hana hekima wala busara,ni mtu mwenye fitina na majungu kwa watuna viongozi wenzie amekuwa akibeba maneno ya uongo na kupeleka kwa wakubwa ili kuwachafua mawaziri na viongozi wenzie yani waswahili wanaita mbeya kwa uchambuzi mdogo tuhuo na ninavyomfahamu mimi Bernard Membe ni kweli hafahi hata kidogo kuwa rais hekima na busara zero tukimpa nchi ataliingiza taifa kwenye migogoro na matatizo badala ya kusonga mbele tutarudi nyuma kimaendeleo.
Yes hana uwezo na dhamira kama walivyo CCM wote,sasa isionekane bwana ako kapata uchochoro.hatujaja kumtawaza Lowasa hapaHujui hata ulichokiandika..... Ni jambo la wazi kwamba Membe hana uwezo....
Mmetumwa mchafue watu!!
Yes hana uwezo na dhamira kama walivyo CCM wote,sasa isionekane bwana ako kapata uchochoro.hatujaja kumtawaza Lowasa hapa
Kwa vile Yeriko ameshindwa kujibu swali langu, sina sababu ya kujibizana na wengine