Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Hivi umeshawahi kumsikia EL akikemea ufisadi?
_ukishakuwa kwenye hicho chama ufisadi upo kwenye ilani yao
 

mimi nikiwekewa membe na mbwa nachagua mbwa.membe hafai kwa kulia wala kwa kurumangia.
 
Shime shime watanzania tusije fanya kosa kumchagua membe ataiuza nchi. Kama aliweza kuslim atashindwaje kutuuza sisi kwa waarabu wake?
 
Membe ni mzigo katika Taifa hili.....Hafai kabisa na hatokaa hafae daima
 
membe ni shetani tena hayawani mimi nawalaani sana watanzania hasa washabiki wa ccm ni kama wana laana nzito karibia wote,wanachama wa ccm hata awekwe nyoka wao huchagua tu,ukiuliza eti chama kimetulea,shortly kama membe atapitishwa kugombea na nec lazima atashinda,maana tanzania ina laana,asiyeamini leo atakuja kuamini kesho,hapo ndo atafanya mambo ya ajabu na tutajikuta tunakuwa taifa linalofuga magaidi,makombora ya marekani na israel hatutayakwepa membe akiwa rais,watanzania ikataeni ccm ni hatari mno kwa maisha yetu.
 
Unamaanisha membe ni ushuzi unaochukua sekunde 30 kuwepo
 

.... VERY SAD!
Kwani vigezo vya kuwania URAIS ni vipi? Au jibu hili, SERA zake ni zipi?
Acha majungu mkuu. Aina hii ya uswahili ni ile tabia za uvivu wa kufikiri. Kushabikia mambo ya kipuuzi kwa kutumia domo kubwa! Porojo za barazani.
kwa taarifa yako na wenzio, NCHI inahitaji kiongozi mtawala na anayemudu utamaduni wa SIASA zenu za KISANII. Yule ambaye ataweza ondoa usanii uliorasimishwa na wajanja flani. Anayejua yote hayo na anayeweza kuwashughulikia hao ambae anayo nia ya dhati kufanya hayo bila kigugumizi ni mmoja tu. MEMBE. Acha kama hutaki
 
Nakumbuka kauli mbili tata za membe. 1. ..hatuko tayari kupokea fedha za kishetani ili tuunge mkono ushoga wa wazungu...bora tufe maskini...2. Tunajiunga na OIC kutafuta fedha za maendeleo...na tupo tayari kupokea fedha hata ikibidi kutoka kwa shetani. ( paraphrased)....hizi ndo sura mbili mbili za member aka joka la mdimu
 

doubleoseven jibu limeshatolewa na head teacher isome.
 
ulitaka akutaje na wewe? Ametajwa membe maana alislimu na ana kihelehele cha kuutaka urais wakati hana sifa.

sioni kitufe cha like kwenye sm yangu.mkuu uliyetukuka pokea heko yangu kwa heshima na taadhima.umetoa jibu maridhawa kabisa
 
Maadamu ushasema Membe ni hewa tu sasa nani akapigie kura OXYGEN na HYDROGEN? mimi na kura ya mke wangu hapati hata akija na Magobore ya ALSHAABABU.
 
Kivuli cha Balozi wa Libya ambaye alipotezwa na membe kisha kuzuga kuwa alijiua Mwenyewe. Huo mzimu wa balozi wa Libya umemtafuna sana ndiyo maana hata JK hajamuunga Mkono juu ya kutaka Urais , Mengi ni Fisadi mkubwa Mapesa ya Gadafi cash dollars masanduku kadhaa ameyaweka kwenye handaki nyumbani kwake anasubiri mda aanze kununua njia ya kuelekea ikulu kwa dola hizo za Gadafi.
 
Maadamu ushasema Membe ni hewa tu sasa nani akapigie kura OXYGEN na HYDROGEN? mimi na kura ya mke wangu hapati hata akija na Magobore ya ALSHAABABU.

Mapesa ya Gadafi yanamuwasha sana anadhani yatamsaidia kununua njia ya kuelekea ikulu.
 
Kivuli cha Balozi wa Libya ambaye alipotezwa na membe kisha kuzuga kuwa alijiua Mwenyewe. Huo mzimu wa balozi wa Libya umemtafuna sana ndiyo maana hata JK hajamuunga Mkono juu ya kutaka Urais , Membe ni Fisadi mkubwa Mapesa ya Gadafi cash dollars masanduku kadhaa ameyaweka kwenye handaki nyumbani kwake anasubiri mda aanze kununua njia ya kuelekea ikulu kwa dola hizo za Gadafi.
 

Acha kutufundisha uwoga, unatumika vibaya kama TP.
 
Joka la mdimu hafai hata kuwa mtendaji wa kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…