OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Mkuu, unaweza kunieleza ni kwa namna gani Membe alimfitini Mudhihiri? Ninachojua ni kwamba Mudhihiri alishindwa kwenye siasa za ushindani na kijana Mtanda akatwaa jimbo na Mchinga
wewe unatumwa na nani??
Kijana, mambo usiyoyajua usitake kuyarukia pasi uelewa. Mimi sio mtetezi wa Membe lakini sipendi watu waongo na wazandiki kama wewe. Mwaka 1982/83 Membe alikuwa Katibu Mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM ikishirikisha Mlimani, Muhimbili na Sokoine. Labda miaka hiyo ulikuwa chekechea?...Zingatia, Bernard Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu AZALIWE 1953 mpaka 2000 alipoingia kwenye siasa, hivyo uongozi sio kipaji chake!
Nikimjua itanisaidia nini? Akipitishwa na chama chake ndo uniulize hili swali.Unamjuaje "mgombea" wa ccm bwana Membe?
Kijana, mambo usiyoyajua usitake kuyarukia pasi uelewa. Mimi sio mtetezi wa Membe lakini sipendi watu waongo na wazandiki kama wewe. Mwaka 1982/83 Membe alikuwa Katibu Mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM ikishirikisha Mlimani, Muhimbili na Sokoine. Labda miaka hiyo ulikuwa chekechea?
Hebu jaribu kujirekebisha bado ukingali na muda. Maisha ni safari ndefu.

Inasemekana hata shambulio dhidi ya Mudhihir mpaka ikapelekea kuvunjwa mkono Membe ndiyo alikuwa mratibu.... Na hiyo ni baada ya kupewa makavu bungeni na Mudhihir....
Kiongozi ni kiongozi haijalishi. Eleza wasifu panapostahili na sio kueneza uongo kwa manufaa ya kisisasa. Hizi siasa zenu za kitoto ndio zinazochelewesha mabadiliko ya ukweli katika jamii hii.Kwa huo ukatibu mkuu wa serikali ya wanafunzi ndo kiongozi wa umma??!au mi sielewi kiongozi wa umma ni nini
Endelea kukenua meno na kusambaza uzandiki. Uongo hautakufikisha mbali katika uwanja huu wa siasa. Utabaki hapo hapo ukipiga kwata. Kuna mambo mengi huyajui katika jamii zaidi ya kusimuliwa. Unachofanya ni kudhoofisha na kufanya upinzani uonekane umejaa mbumbumbu kama wewe. Hii ni hatari sana kwa vuguvugu la mabadiliko nchini.Katibu mkuu??? Hahahaaa pole mkuu,
Kwa chadema ukiwa mmbea,muongo,mzushi na mpotoshaji ndiyo kigezo cha kuwa viongozi japo wewe uliyafanya haya lakini bado hukupata kitu.Kwa ccm mtu yeyote akitunukiwa uchifu basi huyu urais unamnukia,
Endelea kukenua meno na kusambaza uzandiki. Uongo hautakufikisha mbali katika uwanja huu wa siasa. Utabaki hapo hapo ukipiga kwata. Kuna mambo mengi huyajui katika jamii zaidi ya kusimuliwa. Unachofanya ni kudhoofisha na kufanya upinzani uonekane umejaa mbumbumbu kama wewe. Hii ni hatari sana kwa vuguvugu la mabadiliko nchini.

Nilisoma pia kwenye makala ya Kitila Nkumbo akimuelzea kwamba hata mtihani wa kidato cha sita alipata ufaulu hafifu
Acha papara. Umedai hapo awali kuwa "...hivyo uongozi sio kipaji chake (Membe)". Ulikuwa unamaanisha nini hapo? Kubali tu kuwa huna ufahamu wa kitu unachoongelea. Si wote humu ni watoto wa jana kama ulivyo.Tuliza moyo na akili mkuu jenga hoja ama jibu hoja,
Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu azaliwe mpaka 2000 alipoingia Bungeni na kisha 2006 kuwa Naibu Warizi
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa mika kumi na mbili tu akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000.
Tuliza moyo na akili mkuu jenga hoja ama jibu hoja,
Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu azaliwe mpaka 2000 alipoingia Bungeni na kisha 2006 kuwa Naibu Warizi