Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Mkuu, unaweza kunieleza ni kwa namna gani Membe alimfitini Mudhihiri? Ninachojua ni kwamba Mudhihiri alishindwa kwenye siasa za ushindani na kijana Mtanda akatwaa jimbo na Mchinga

Inasemekana hata shambulio dhidi ya Mudhihir mpaka ikapelekea kuvunjwa mkono Membe ndiyo alikuwa mratibu.... Na hiyo ni baada ya kupewa makavu bungeni na Mudhihir....
 
hesabu ya miaka mbona inagoma? aliajiriwa 1978, akafanya kazi mwaka 1, mwaka 1992 akapelekwa ubalozi otawa mpaka 2000, au sikuelewa?
 
...Zingatia, Bernard Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu AZALIWE 1953 mpaka 2000 alipoingia kwenye siasa, hivyo uongozi sio kipaji chake!
Kijana, mambo usiyoyajua usitake kuyarukia pasi uelewa. Mimi sio mtetezi wa Membe lakini sipendi watu waongo na wazandiki kama wewe. Mwaka 1982/83 Membe alikuwa Katibu Mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM ikishirikisha Mlimani, Muhimbili na Sokoine. Labda miaka hiyo ulikuwa chekechea?

Hebu jaribu kujirekebisha bado ukingali na muda. Maisha ni safari ndefu.
 
Katibu mkuu??? Hahahaaa pole mkuu,
 
Kwa huo ukatibu mkuu wa serikali ya wanafunzi ndo kiongozi wa umma??!au mi sielewi kiongozi wa umma ni nini
 
Inasemekana hata shambulio dhidi ya Mudhihir mpaka ikapelekea kuvunjwa mkono Membe ndiyo alikuwa mratibu.... Na hiyo ni baada ya kupewa makavu bungeni na Mudhihir....

Kati ya vitu naanza kumkubali Membe ni kwa kuwa anaonekana hayupo obsessed sana na urais na anataka kama kuupata aupate kwa njia sahihi ndio maana ata ahangaiki kununua watu kwa pesa na wala ahangaiki kuyanunua magazeti wala kununua watu wa kumpigia debe kama afanyavyo mwajiri wa Ocampo Four, Lowassa.

Maana katika nchi iliyokosa maadili kama inavyoelekea yetu, kwenye nchi ambayo uongozi unatafutwa na pesa, yet ahangaiki kuhonga wala kununua vyombo vya habari?wa hili atajijengea heshima sana maana ni nadra sana kufanyika.
 
Kwa huo ukatibu mkuu wa serikali ya wanafunzi ndo kiongozi wa umma??!au mi sielewi kiongozi wa umma ni nini
Kiongozi ni kiongozi haijalishi. Eleza wasifu panapostahili na sio kueneza uongo kwa manufaa ya kisisasa. Hizi siasa zenu za kitoto ndio zinazochelewesha mabadiliko ya ukweli katika jamii hii.
 
Katibu mkuu??? Hahahaaa pole mkuu,
Endelea kukenua meno na kusambaza uzandiki. Uongo hautakufikisha mbali katika uwanja huu wa siasa. Utabaki hapo hapo ukipiga kwata. Kuna mambo mengi huyajui katika jamii zaidi ya kusimuliwa. Unachofanya ni kudhoofisha na kufanya upinzani uonekane umejaa mbumbumbu kama wewe. Hii ni hatari sana kwa vuguvugu la mabadiliko nchini.
 
Kwa ccm mtu yeyote akitunukiwa uchifu basi huyu urais unamnukia,
Kwa chadema ukiwa mmbea,muongo,mzushi na mpotoshaji ndiyo kigezo cha kuwa viongozi japo wewe uliyafanya haya lakini bado hukupata kitu.
 
Leo asubuhi tumeshuhudia makala ya kipropaganda dhidi ya Waziri Membe ikisambazwa na kijana Yericko Nyerere akimsema Waziri Membe kuwa hana historia kubwa katika mafanikio ya kielimu na uongozi na amechangia kudidimiza diplomasia yetu. Pia amehoji weredi wa Waziri Membe katika idara ya usalama wa taifa.

Tunachoweza kumjibu kijana Yericko Nyerere ambaye baadhi yetu tumekuwa tukisoma baadhi ya makala zake katika gazeti la Mawio ni kwamba Waziri Membe kielimu hana historia legevu au dhoofu kutokana na ukweli kwamba elimu yake haiwezi kuhojiwa mahali kutokana na uhalali wake.

Yericko Nyerere arejee makala ya Prof.Kitila Mkumbo kuhusu Waziri Membe ambaye ni mwanachama mwenzao wa upinzani na Mhadhiri wa chuo kikuu.

Itakuwa ajabu kwa watu aina ya Yericko kuacha kuhoji ubatili wa elimu ya Waziri Membe miaka ya nyuma waje wahoji leo mwaka wa uchaguzi.Hakika hizi ni hekaya za abunuwasi.Hakika Yericko katumwa kumchafua Waziri Membe.

Kuhusu weredi wa Waziri Membe idara ya usalama wa taifa eti hakuna mission aliyowahi kuisimamia na kuifanikisha hatutopenda kuzungumzia haya kwasababu hatuna mamlaka ya kufanya hivyo.

Kwa kuhitimisha tu niwaase vijana aina ya Yericko kuwa wanafanya utafiti kabla ya kuandika.Waziri Membe hajawahi kuwa naibu waziri wa mambo ya nje.Nina imani tumeeleweka!
 
Endelea kukenua meno na kusambaza uzandiki. Uongo hautakufikisha mbali katika uwanja huu wa siasa. Utabaki hapo hapo ukipiga kwata. Kuna mambo mengi huyajui katika jamii zaidi ya kusimuliwa. Unachofanya ni kudhoofisha na kufanya upinzani uonekane umejaa mbumbumbu kama wewe. Hii ni hatari sana kwa vuguvugu la mabadiliko nchini.

Ndio vijana wetu hawa, kasema hapo kuwa Membe hajawahi kuwa kiongozi popote mpaka alipoibukia kwenye ubunge.

Baada ya kumpa hilo amelikimbia tena, hizi njaa za hawa vijana wenzetu mbaya sana, zinauza mpaka utu wao.
 
Endelea kukenua meno na kusambaza uzandiki. Uongo hautakufikisha mbali katika uwanja huu wa siasa. Utabaki hapo hapo ukipiga kwata. Kuna mambo mengi huyajui katika jamii zaidi ya kusimuliwa. Unachofanya ni kudhoofisha na kufanya upinzani uonekane umejaa mbumbumbu kama wewe. Hii ni hatari sana kwa vuguvugu la mabadiliko nchini.

Tuliza moyo na akili mkuu jenga hoja ama jibu hoja,

Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu azaliwe mpaka 2000 alipoingia Bungeni na kisha 2006 kuwa Naibu Warizi
 
Nilisoma pia kwenye makala ya Kitila Nkumbo akimuelzea kwamba hata mtihani wa kidato cha sita alipata ufaulu hafifu
 
Tuliza moyo na akili mkuu jenga hoja ama jibu hoja,

Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu azaliwe mpaka 2000 alipoingia Bungeni na kisha 2006 kuwa Naibu Warizi
Acha papara. Umedai hapo awali kuwa "...hivyo uongozi sio kipaji chake (Membe)". Ulikuwa unamaanisha nini hapo? Kubali tu kuwa huna ufahamu wa kitu unachoongelea. Si wote humu ni watoto wa jana kama ulivyo.
 
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa mika kumi na mbili tu akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000.

Angekuwa kilaza kama unavyotuaminisha asingekuwa mchambuzi wa mambo ya usalama au analyst kwa kimombo. Wanausalama wa kipindi hicho wanasifika kwa weledi. Hakuna hoja yoyote hapa.
 
Tuliza moyo na akili mkuu jenga hoja ama jibu hoja,

Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu azaliwe mpaka 2000 alipoingia Bungeni na kisha 2006 kuwa Naibu Warizi

Membe hana lolote amekuwa Waziri wa familia yake na Tumbo lake tu kuna watu wanaibiwa pesa zao kwenye Ubalozi wa Uingereza walipishwa pesa kisha Viza hawapati na pesa hailudi inaliwa na wajanja ambao humugawia Membe ndiyo maana amefumbia macho Ubaguzi huo.
 
Back
Top Bottom