OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Mkuu, unaweza kunieleza ni kwa namna gani Membe alimfitini Mudhihiri? Ninachojua ni kwamba Mudhihiri alishindwa kwenye siasa za ushindani na kijana Mtanda akatwaa jimbo na Mchinga
Inasemekana hata shambulio dhidi ya Mudhihir mpaka ikapelekea kuvunjwa mkono Membe ndiyo alikuwa mratibu.... Na hiyo ni baada ya kupewa makavu bungeni na Mudhihir....