Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Sijamsikia Membe akiongea hadharani tangu mchakato wa uraisi umepita 2015
 
Mbona tunatishana mkuu?? Khaaaa magu yeye ni Nani asichallenjiwe?? Shubaaamit!

Hatumtaki jiwe, aendee zake!
 
Hilo waachiwe wanachama waamue,kisasi inategemea uliishije na wenzako uongozi ni zamu
 
Unakataa mwenyekiti anakura ya trufu.
well crafted propaganda, tena sio kutoka CCM bali ni kutoka ndani ya serikali, endeleeni kujipa moyo, kama "mwenyekiti" ananguvu sana ndani ya chama basi Membe angepeperusha bendera 2015!
 
Tanzania inaweza kuongoza na mtu hata wa klasi seven, kwani kama kiongozi ni nadra sana kutumia jasho na akili. Ni kiasi cha kutoa amri kibashitebashite mambo yanajipa yenyewe.

Na kwakua hakuna uwajibikaji wa matendo yetu kama viongozi bali upo uwajibikaji wa wale wanaotofautiana na mwenye Power tu, na wanashughulikiwa kirahisi kama kuua panya kwa rungu moja. Hivyo, Mh.Membe anaweza kuongoza Tanzania bila matatizo. Sio kazi ngumu kuiongoza nchi.

Pamoja na kukiri sifa za Mh.Membe. Bado simshauri agombee uraisi. Maana urahisi wa kuongoza ndivyo ugumu wa kumtoa aliye madarakani ulivyo.
Magufuli ananguvu nyingi sana. Yule ni chuma cha reli ya std gauge. Mfupa wa membe laini utavunjikia hapo akileta kibri. Yeye na wafuasi wake watajutia.

Ccm ya leo ni ccm ya magufuli. Membe Akae pembeni ale kiinua mgongo chake. Kwani ni nini bwana?. haya maisha tu, yanapita. Uzee uleeeeeeee.
 
Membe yupo kimyaaa ila kunawatu nadhani wanatamani awe rais ndio maana kila kukicha wanamtaja Membe ambaye aliamua kujikalia kimya tuu. It seems people need him more than he himself wanted to be a president. Tumwache aendelee na mambo yake. Rais yupo muda wake haujaisha maana kwa mfumo wa CCM ni hadi 2025. Mbona tunaanza muongelea Membe leo ni 2018 tu, je tumepungukiwa nini? Mbona kipindi cha JK haikua hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…