Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Kwanini inaonekana anaung'ang'ania urais hivyo na wakati alisema alikuwa hautaki ilitokea bahati mbaya? Au utamu mmeonja sasa mnaganda hapo kama kupe. Ana nguvu gani nyingi?semeni nyie ni wadhaifu ndo maana mnaona hivyo.
 
Rais magufuli aliupata urais kwa sababu ya maugomvi yao humo ccm , ikawa sandakarawe maana alibaki yye na wala wakina mama wale _, sasa huwa najiuliza mambo mengi sana sijajua bado rais wa sasa anatawala kwa Sera IPI !?? Wanyonge ??! Kweli kweli wanyonge !?? Maana hao wenyonge naona wamezid kuwa watumwa zaidi huku vijijin na wale wa kipato cha kati kama wafanyakaz ndo wamenyooshwa na bado wananyooshwa barababara zile ahad za mpenzi wa wafanyakaz hapa hazipo , matajiri nao wamenyooka maana wote tunaimba mashairi ya aina moja tu ndo najiuliza hapa

Wanyonge ni kina nani labda mnisadie kwanza
 
Kwaniniinaonekana anaung'ang'ania urais hivyo na wakati alisema alikuwa hautaki ilitokea bahati mbaya? Au utamu mmeonja sasa mnaganda hapo kama kupe. Ana nguvu gani nyingi?semeni nyie ni wadhaifu ndo maana mnaona hivyo.
Ile ilikua stori tu,for public consumption tu. Si unajua hawajibiki kwa lolote hata akikudanganya?. Ukweli ni kua, Anaupenda uraisi sana, Tena angetamani uwe uraisi wa maisha.
 
Tabia ya ccm kutotayarisha wagombea urais na kusubiria lamri za akina Yusufu Marope baba wa mwezi wa kwanza ndio ilipelekea MKATULETEA JIWE NA HUENDA KIPINDI KIJACHO MKATULETEA MATOPE MKITIWA ROBA mleta mada huna uwezo wa kujua au kuamua mgombea urais awe nani hata KAMATI KUU hawajui usikute wakatuletea mtu kutoka milembe ili aokoe chama maana kumeshakuwa na hulka ya ccm kuokolewa na vichaa, kama ambavyo huyu mtukufu hakudhaniwa kuwa rais ndivyo iwezekanavyo kuondolewa
 
Hiv membe kawafany nn nyie hapo vijana wa Lumumba? Mbona mbaba wa watu wala hana shda,naona mpak lile jarda la msiba nalo wiki hii ilishambulia sana!!?
 

Ninyi GT,
Je? kuna mahali Kamillius kasema anautaka urais? Recently ? onyesha

Tusitumie kalamu zetu vibaya mpaka kufikia kuchonganisha watu, tusitumike vibaya!

Kamillius ni mzee mmoja makini sana na anaheshimu serikali hii hivyo msitengeneze scenes ili muuze gazeti.

Nashangaa kuna watu wanautaka urais usiku na mchana lakini hamuwasemi, ziara zao mikoani zimepigiwa kelele na katibu mkuu wa chama wa ccm kuhusu kujipanga lakini hamuwagusi. Tuache mahaba...!
 
Wanyonge ni bashite na genge lake maana ndio wanafaidi hii nchi
 
Here is the point for those who think that ccm is rigid and can not be moved. If only one man moved it into his own power, then I think 1 party can just make it to vanish.
Mwl aliwahi kusema, upinzani wa kweli utatokea ccm. Hivyo, tusiwe na uhakika saana wa maono ya mtu aliyeko ccm.
 
Magufuli ndiye Rais kwa sasa, na atabaki kuwa Rais hadi muda wake wa kuondoka utakapofika.

Hakuna wa kumuondoa, waliota kafa waote vema tu....Ila pale yupo kwa kuwa wananchi walimpitisha.
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…