Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Membe namfahamu sana anatakiwa kusoma alama za nyakati.
Uraisi hautafitwi kwa njia za kizamani anazotumia,ambazo zitamweka kwenye matatizo.
Siasa ya Rushwa kuhonga haina nafasi tena,.

Ye kwa sasa ni MTU mzima niaka,65 atulie tu alee wajukuu km kula amekula sana,amesahau nn serikalini?
Tunahitaji damu mpya 45-50 angalau sio 60+ hapana.
Naamini baba yangu Membe ni mdau wa jf kuwa makini,km ukiendelea na kampeni zako za siri utaishia sehemu mbaya sana,.
Washauri Wako wanakupotosha sana this z Africa.
PCCB wapo wanaona takecare.
 
well crafted propaganda, tena sio kutoka CCM bali ni kutoka ndani ya serikali, endeleeni kujipa moyo, kama "mwenyekiti" ananguvu sana ndani ya chama basi Membe angepeperusha bendera 2015!
mwenyekiti yule na mwenyekiti huyu ni tofauti lakini
 
Wewe umesha kuwa mzoga. Kwishilia mbali!
 
Mwomba mungu hachoki na kamwe usikate tamaa na rehema za Mora wako
 
Mbona unatishia nyau , au na wewe. Ni wale wasiojulikana ??

Kila mtu ana haki na hii inchi , awe mzee awe kijana , tusitishiane bana
 
CCM mnataka kumfanya nini Membe, mkiambiwa ndani ya CCM hakuna uhuru mnakataa.
 
CCM kwa haya mnayoendelea nayo inaweza kubomoka 2020 sabb kwanza ilishagawanyika vipande viwili "ccm asili na kadi" na pili mapandikizi ambayo mengine yametoka upinzani kwa maelekezo. Sitashangaa yatakayotokea 2020 maana KANU Kenya ilibomoka kwa njia hii ambayo Ccm sasa inapita
 
He is a mere dictator, hana la zaidi! Na madictator wana mwisho wao!
 
yaani kitendo cha membe kutamani tu kugombea urais kupitia ccm tayari ashaanza kuandamwa..
 
Bado sijaona kama Rais wa sasa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Tumpe ushirikiano atatufikisha mbali mno Kimafanikio na ipo siku tutakuja Kumkumbuka japo leo kuna ' Mapopoma ' wengi hawamuelewi kwa sababu zao wanazozijua Wao.
Atufikishe mbali mara ngaoi??
 
Nchi ya wajinga hii, yeyote anaweza kuwa Rais....huyu wa sasa ni mtupu lakini tupo nae tu.
Mbona Lowasa alishindwa pamoja na maandilizi yaliyofanyika na mapesa aliyo yasambaza? Duuh! Jamaa alimkufuru Mungu! Aliwafanya wafuasi mpaka kulazimika kutambaa barabarani?

Nasikitika hakuna ambaye amehoji hizo hela zilitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…