Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Kwanza jiulize why Kitine na Apson walisababisha afukuzwe kazi usalama wa taifa?

Kule Usalama hakufukuzwa kazi, bali alihamishwa kitengo na kupelekwa kwenye njaa , akaamua kwenda kusoma chuo cha Uhusiano wa kimataifa pale kurasini kisha akabebwa bebwa kijanja na Kuwa Waziri , hatimae akaja kupata zali mapesa ya Gadafi yamempa kiburi anadhani anaweza kununua Urais kwa kupika Majungu.
 
He doesn't deserve the so called tanzanian president,neither the minister,he is there for the interest of mama salma kikwete and that's it,no body needs him actually
 
Kwanza jiulize why Kitine na Apson walisababisha afukuzwe kazi usalama wa taifa?

Kwa sababu uwezo wa membe katika idara ni mdogo,he talks too much rather than acting,na moja kati ya miiko ya usalama ni utekelezaji pasipo maneno
 
Instead of dismissing hoja as childish , why dont you come with an alternative arguement to refute wht has been said? or to support that he is actually presidential material?

That's wama member,don't argue with him
 
Rais wa NGO ya wama 2015 anaweza sio wa nchi wanaomshauri wa Jamhuri wanamtafutia presha na loss.
Anamajivuno, kisasi anadhani Tanzania ni kama WAMA kuwalisha watu maneno
 
Membe is a national disaster. He is much preoccupied with trivial matters. His leadership capability is much in doubt. If you want to comprehend his position within the wider national society, indeed and in calibre he belongs to class of Lazaro Nyalandu another discouraging and controversial politician in Tanzania.
 
Verily, verily. Even Nyalandu considers himself a presidential material
 
Ikiwa Ni Mzalendo Kweli, Mbona Kashfa Ya ESCROW Sijamsikia Akilaani Wizi Huo Na Kuwataka Tibaijuka, Werema Na Maswi Wafukuzwe? Hata Kwenye Katiba Ya Kifisadi Inayopendekezwa Mbona Hajaipinga Wazi?Mbona Yupo Kimya?Mbona Kashfa Nying Zimetokea Na Amebaki Kimya Hadi Sasa?Mbona Palestina Na Israel Alitoa Tamko La Kuwabeba Wapalestina Na Kuwaita Ndugu Zake Wanauliwa Bila Sababu? JE UZALENDO WAKE NI UPI?
 
Uzalendo wa mtu unapimwa kwa kuyatamka haya uliyoyaandika?
 
Kwanini umtaje Membe peke yake

Hata mimi nilikuwa nategemea wale wote ambao wameonesha nia au wanaofikiriwa kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wangejibainisha wazi wana msimamo gani kuhusu: Katiba pendekezwa, Muungano, Ufisadi (Escrow, Richmond, EPA, Radar etc), Uchumi, Huduma za Jamii etc. Cha ajabu, kila mmoja yuko kimya, inasikitisha sana!!!!
 
Wapambe Wa Membe Wanamsifia Sijui Kwalipi Jema Kaifanyia Nchi? Kashfa Ya Escrow Membe Hatukumuona Akilaani Na Kuwataka Wang'oke Walohuska,lakini Kimya Bungeni Sikumsikia! Haya Katiba Mpya Ya Kifisadi Sijamsikia Akiipinga Bungeni Au Hata Kuikosoa!Kashifa Ni Nying Lakini Membe Humsikii! Ukimsikia Membe Anazungumza Ujue Anailaani ISRAEL KWA KUUA NDG ZAKE WAPALESTINA, MAUAJI YA ISI, BOKO HARAM, ALSHABAB MEMBE HUMSIKII.UTAMSIKIA AKIILAANI ISRAEL! UFISADI ULOFANYIKA NCHINI HUMSIKII BUNGENI AKIPINGA WAZI WAZI.MEMBE NI MIONGONI MWA MAFISADI WATANZANIA TUSIFANYE MAKOSA HATA KIDOGO.RAIS WETU HAPA NI MHE. Sana Dr Mtukuka Wilbroad Peter Slaa Tumaini La Wanyonge Au Mhe. Edward Ngoyai Lowasa Kiboko Cha Wakurugenzi Wabadhirifu.Hanaga Mambo Ya Tume.Yeye Maamuzi Ni Ya Papo Kwa Hapo Siyo Kama Pinda Mtu Kaiibia Serikali Bado Mnazi Kupoteza Pesa Za Kuwalipa Wajumbe Wa Tume Kisha Mhusika Anaishia Kutenguliwa Cheo Badala Ya Kufilisiwa Mali Zake Ili Kufidia Hasara.CHONDE CHONDE TUSIFANYE MAKOSA MUNGU HATATUSAMEHE
 
huyu MEMBE alisilimu ili awe na dini ya jk akitegemea JK atampa tafu ya kuwa rais

WATZ kibao wananyongwa na kusingiziwa kesi china yaan polisi china wamekuwa na tabia ya kuwabambikia kesi watanzania just bcz wengi walishakamatwa na unga. UKIENDA CHINA HATA KIHALALI NA DILI HALALI POLISI kule wanatabia ya kukusingizia mzigo wa unga
 
Wapambe Wa Membe Wanamsifia Sijui Kwalipi Jema Kaifanyia Nchi? Kashfa Ya Escrow Membe Hatukumuona Akilaani Na Kuwataka Wang'oke Walohuska,lakini Kimya Bungeni Sikumsikia! Haya Katiba Mpya Ya Kifisadi Sijamsikia Akiipinga Bungeni Au Hata Kuikosoa!Kashifa Ni Nying Lakini Membe Humsikii! Ukimsikia Membe Anazungumza Ujue Anailaani ISRAEL KWA KUUA NDG ZAKE WAPALESTINA, MAUAJI YA ISI, BOKO HARAM, ALSHABAB MEMBE HUMSIKII.UTAMSIKIA AKIILAANI ISRAEL! UFISADI ULOFANYIKA NCHINI HUMSIKII BUNGENI AKIPINGA WAZI WAZI.MEMBE NI MIONGONI MWA MAFISADI WATANZANIA TUSIFANYE MAKOSA HATA KIDOGO.RAIS WETU HAPA NI MHE. Sana Dr Mtukuka Wilbroad Peter Slaa Tumaini La Wanyonge Au Mhe. Edward Ngoyai Lowasa Kiboko Cha Wakurugenzi Wabadhirifu.Hanaga Mambo Ya Tume.Yeye Maamuzi Ni Ya Papo Kwa Hapo Siyo Kama Pinda Mtu Kaiibia Serikali Bado Mnazi Kupoteza Pesa Za Kuwalipa Wajumbe Wa Tume Kisha Mhusika Anaishia Kutenguliwa Cheo Badala Ya Kufilisiwa Mali Zake Ili Kufidia Hasara.CHONDE CHONDE TUSIFANYE MAKOSA MUNGU HATATUSAMEHE
Kweli kabisaa Membe hatufai kuwa raisi. Kuna wakati alihudhulia sherehe ya uhuru wa misri kutimiza miaka 61 palUpanga Dar Es Salaam, ambapo alikaa kimyaaa huku balozi wa misri akiitukana matusi machafu sana Uingereza karibia toka mwanzo mpaka mwisho wa sherehe. Wakati hu huo ubalozi wa misri nchini nchini uingereza haukuthubutu hata kunyanyua ulimi kuikandia uingereza. Halafu akiwa waziri wa mbo ya nje, katembeleanchi zote zakiarabu mpaka utruki lakii hakuthuutu kutembelea Israel. Swala tazania kjiunga OIC yeye hakukerwa Mpaka KIongoziwa kanisa la mahehebu ya thabato Tanzania alpolalamika magazetini.

Sina Imani nae kabisaaa!
 
Wapambe Wa Membe Wanamsifia Sijui Kwalipi Jema Kaifanyia Nchi? Kashfa Ya Escrow Membe Hatukumuona Akilaani Na Kuwataka Wang'oke Walohuska,lakini Kimya Bungeni Sikumsikia! Haya Katiba Mpya Ya Kifisadi Sijamsikia Akiipinga Bungeni Au Hata Kuikosoa!Kashifa Ni Nying Lakini Membe Humsikii! Ukimsikia Membe Anazungumza Ujue Anailaani ISRAEL KWA KUUA NDG ZAKE WAPALESTINA, MAUAJI YA ISI, BOKO HARAM, ALSHABAB MEMBE HUMSIKII.UTAMSIKIA AKIILAANI ISRAEL! UFISADI ULOFANYIKA NCHINI HUMSIKII BUNGENI AKIPINGA WAZI WAZI.MEMBE NI MIONGONI MWA MAFISADI WATANZANIA TUSIFANYE MAKOSA HATA KIDOGO.RAIS WETU HAPA NI MHE. Sana Dr Mtukuka Wilbroad Peter Slaa Tumaini La Wanyonge Au Mhe. Edward Ngoyai Lowasa Kiboko Cha Wakurugenzi Wabadhirifu.Hanaga Mambo Ya Tume.Yeye Maamuzi Ni Ya Papo Kwa Hapo Siyo Kama Pinda Mtu Kaiibia Serikali Bado Mnazi Kupoteza Pesa Za Kuwalipa Wajumbe Wa Tume Kisha Mhusika Anaishia Kutenguliwa Cheo Badala Ya Kufilisiwa Mali Zake Ili Kufidia Hasara.CHONDE CHONDE TUSIFANYE MAKOSA MUNGU HATATUSAMEHE

Huyo Membe ni nafiki tu hana lolote na kamwe hawezi kuliongelea suala la Escrow kwa kuwa anajua Boss wake ndio architect wa huo mradi mzima na huo wizi wa hizo hela,anakaa kimya kwa kuwa anajua akilikoroga ndio basi tena Mfalme na timu yake hawatweza kumpigia chapuo la urais kwahiyo inabidi awe mnafiki tu matokeo yake anaishia kubwabwaja makanisani kuwa hapendi ufisadi,shenzi taipu kabisa huyo!
 
kwanini umtaje membe peke yake

kutokana na taarifa aliyosema mafisadi wanamchukia ili hali si kweli kwani hajawahi hata sk moja bungeni kuwataka wafukuzwe,yupo kimya!kwenye escrow kimya,katiba fisadi kimya, uzalendo anaojisifia anao ni upi hadi aombe awe rais wa nchi?
 
Back
Top Bottom